The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Mwe sasa uzalendo unatoka wapi kama wao wenyewe hawalipi kodi.
Waulize MATAGA....labda watakujibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwe sasa uzalendo unatoka wapi kama wao wenyewe hawalipi kodi.
Inafikirisha sanakwanza, nimenukuu kama ilivyo toka kwa mr malisa GJ.
pili, haya ndo mambo muhim ya kujadili huku uraian ili hata baadhi yetu wanapotuumiza wamejifungia wajue nje tunajua...
Inafikirisha sana
HAPA NDIO UTAJUA KUWA MWENYE SHIBE HAMJUI MWENYE NJAAkwanza, nimenukuu kama ilivyo toka kwa mr malisa GJ.
pili, haya ndo mambo muhim ya kujadili huku uraian ili hata baadhi yetu wanapotuumiza wamejifungia wajue nje tunajua.....
Kuna nguvu ya WAJUMBE!! Sidhani kama utaweza kuwabudu kwa hii miaka michache iliyobakia!Namie ntagombea UBUNGE 2025.
we ndo umehama reli mazma sasa. unadiriki vip kulinganisha private sector na serkali inayoish kwa pesa zinazotokana sekta binafs zaid? usisahau serkali haizalishi, inakusanya kodi.Kwa majukumu ya mbunge, huo ni mshahara mdogo sana. Unajua C7 analipwa shilingi ngapi kwa wiki? Au unajua CEO wa Vodacom Tanzania [emoji1241] alipwa shilingi ngapi? Kwa kazi na majukumu ya mbunge na idadi ya watu anaowawakilisha huo ni mshahara pamoja na posho ni kiasi kidogo sana. Ukienda kwenye makampuni ya private yanayofanya vizuri kimapato, mshahara wa shs sijui 4M ni mshahara wa maofisa wa kati kabisa.
tabia ya kutoa misaada itungiwe sera na sheria mpya mana ni tabia ya ki rushwa rushwa. ilibid wananchi ndo wawe na morali ya kumchangia mbunge kutimiza majukum yake kwa faida yao. usihalalishe huku kujipendekeza kwa wabunge wasiostahili kuongoza wakaishia kuhalalisha kutupiga makusanyo yetu kibunge. kuna kitu kimejengeka kwa wananchi (virus) kuhusu majukum ya mbunge kias kwamba hata kutoa msaada nje ya mfuko wa jimbo linageuzwa jukum lake. hii ni aina ya rushwa na inatutafuna katika marejesho kwa mtoaj.Pamoja na hayo mkuu wabunge huchangia pesa nyingi kwenye majimbo yao kuanzia misiba,wenye shida mbalimbali sasa unadhani hiyo michango mikubwa bila hiyo pesa wataiweza, labda utakuwa huishi kwenye majimbo yaliyo nje ya Darisalama,kama ungekuwa huku vijijini ungeona jinsi wabunge wanavyotoa michango yao kwenye shughuli nyingi za wapiga kura wao, naamini pia kama una uwezo watu wanaokupiga mizinga kila siku ni wengi ,huyu atakuomba hiki na mwingine kile. Watu wengi wanaolaumu ndio hao hao kila siku wamekuwa ombaomba kwa watu wenye vipato wakiwemo wabunge.