Waufukweni JF-Expert Member Joined May 16, 2024 Posts 5,383 Reaction score 18,776 May 27, 2025 #1 Mbunge Viti Maalum anayewakilisha Vyuo Vikuu, Dkt. Tea Ntala apendekeza Wanaume wanaolawiti na kubaka wahasiwe kabla ya kufikishwa Mahakamani Your browser is not able to display this video.
Mbunge Viti Maalum anayewakilisha Vyuo Vikuu, Dkt. Tea Ntala apendekeza Wanaume wanaolawiti na kubaka wahasiwe kabla ya kufikishwa Mahakamani Your browser is not able to display this video.
MwajabuOmary JF-Expert Member Joined Jul 11, 2013 Posts 2,059 Reaction score 2,982 May 27, 2025 #2 Anatoaje ushauri kama huo wakati yeye ndio mtunga sheria? Wahasiwe kwa kifungu gani cha sheria? hatuna namna hao ni wakwetu ndio chaguo letu
Anatoaje ushauri kama huo wakati yeye ndio mtunga sheria? Wahasiwe kwa kifungu gani cha sheria? hatuna namna hao ni wakwetu ndio chaguo letu