Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Mbona ilishamchoka mda tuMaza hana mvuto kabisa wa kisiasa zaidi ya dola kumbeba na yenyewe itafika siku itamchoka
Bado kidogo kuna mafisadi yana nguvu sn yapo nayeMbona ilishamchoka mda tu
Kabisa ila soon wataonja joto ya jiweBado kidogo kuna mafisadi yana nguvu sn yapo naye
Si jana walisema Lindi(Ruangwa) hakuna changamoto yoyote kila kitu kipo sawa au masikio yangu yalikuwa ni mabovu? hawa wapumbavu watabaki kuwa masikini haswaRais samia akiwasalimia Wananchi wa Somanga akiwa njiani kuelekea Jijini Dar es Salaam
MBUNGE: UMEME UMEKATIKA MARA 21 NDANI YA SIKU MBILI
Mbunge wa Kilwa Kaskazini, Francis Ndulane akielezea changamoto ya umeme kukatika katika Jimbo hilo na kusababisha kero kubwa kwa Wananchi, amesema hayo mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan aliposimama kusalimia Wananchi wa Somanga akiwa njiani kuelekea Dar es Salaam, leo Septemba 20, 2023.
Ni ngumu snKabisa ila soon wataonja joto ya jiwe
Jambo jema umeme kukatika mara 21!!??Ni jambo jema!
Mgalatia Huyo hawanaga UnafikiNaona mbunge kajilipua, siyo wale wa kusifiasifia
Ni sahihi kabisa na Rais analijua hili hivyo wavute subira.Rais samia akiwasalimia Wananchi wa Somanga akiwa njiani kuelekea Jijini Dar es Salaam
MBUNGE: UMEME UMEKATIKA MARA 21 NDANI YA SIKU MBILI
Mbunge wa Kilwa Kaskazini, Francis Ndulane akielezea changamoto ya umeme kukatika katika Jimbo hilo na kusababisha kero kubwa kwa Wananchi, amesema hayo mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan aliposimama kusalimia Wananchi wa Somanga akiwa njiani kuelekea Dar es Salaam, leo Septemba 20, 2023.
wewe mpumbavu kama huijui 'jeografia' ya nchi usiwe unaropoka,Ruangwa ni Kilwa? Kusema ukweli kama kuna hiyo changamoto ni kosa!! Shubaamiit zako.Si jana walisema Lindi(Ruangwa) hakuna changamoto yoyote kila kitu kipo sawa au masikio yangu yalikuwa ni mabovu? hawa wapumbavu watabaki kuwa masikini haswa
Mumeo, kuna mkoa wa Kilwa?wewe mpumbavu kama huijui 'jeografia' ya nchi usiwe unaropoka,Ruangwa ni Kilwa? Kusema ukweli kama kuna hiyo changamoto ni kosa!! Shubaamiit zako.