Yale Yale ya juma nkamia enzi za hayati chuma! "Bunge la miaka Saba"
MATOKEO
Hayati akaitwa kwenye usingizi wa milele
Yale Yale ya gazeti la uhuru baada ya samiah kushika hatamu eti "samiah sitogombea urais 2025"
MATOKEO
kampeni za mapema,mgao wa baiskeli na pikipiki,halafu mtego wa mauaji ya October 29 na sasa ICC inatokota plus kumalizana ndani ya chama ili kuficha ushahidi Rip Jenista mhagama waziri wa afya,Rip Lukuvi,Rip in advance to comrade nchimbi, innocent bashungwa and the like!!
Sasa na hii move sijui matokeo yake!!
Nawaza na kuwazua na SI lazima mawazo yangu yatakua sahihi Wala sio ukweli halisi bali speculation TU na kuchangia uchumi wa bando,nisipoandika nani ataandika!!?
Kazi na utu,Mimi nasonga mbele na CCM na comrade samiah suluhu mwenyeketi wetu!!