Mbunge ashauri Chama Cha Mapinduzi kumpitisha Dkt Samia kama mgombea wa uraisi 2030

Mbunge ashauri Chama Cha Mapinduzi kumpitisha Dkt Samia kama mgombea wa uraisi 2030

huyu mzanzibar ana tamaa sana. na hapo ana buy time ili ikikarbia uchaguzi aanze kujifanya anaanzisha mchakato wa katiba ili aendelee kukaa madarakani.
 
Nafikiri hii tungeenda nayo kwamba samia atawale milele na anafaa ili tumpandishe na mabosi zake jk ambaye anapambana mwanae akalie kiti
 
Ameshafanya madudu mengi kiasi kwamba, njia pekee anayoona itamfaa, ni kubakia madarakani milele.

Huyu mbunge alipigwa chini uwaziri na Mwinyi huko SMZ, sasa akaokotwa na kukabidhiwa ubunge wa kuteuliwa, anaitumia fursa ipasavyo.

Kwa hili draft, isingewezekana EN akabaki kwenye ile nafasi, ilikua lazima aondoke.
 
Huyu MPUMBAVU si ndiye alimuita Balozi Dr Nchimbi yuda? Huyu si ndiye alisema alisoma 'Elbolo Arusha"? Ilboru waliosoma kina Paskali , Lissu ndiyo itoe kilaza kama huyu? Labda Elbolo ya Ekenywa.
 
Huyu ukiona anaongea, ujue limetoka jikoni, huwa habahatishi kabisaa.
 
Back
Top Bottom