Mbunge ashauri Chama Cha Mapinduzi kumpitisha Dkt Samia kama mgombea wa uraisi 2030

Ngoja nimwite Kiranga Kuna Uzi alisema hajapata hii habari.

Magu nae alianza hivi hivi kutanguliza machawa wazee wa atake asitake

Ikawa heri Hilo lengo lao halikutimia
 
Na samia ili akwepe kusumbuliwa na ICC hivi karibuni 2030 itabidi apambane hata kwa kumwaga damu kama alivyofanya 2025 aendelee mpaka 2035 na kwa ubongo wake ndio anayoyafikiria ila hapo sasa ndio atatuua wengi sanaa
 
Yale Yale ya juma nkamia enzi za hayati chuma! "Bunge la miaka Saba"

MATOKEO
Hayati akaitwa kwenye usingizi wa milele

Yale Yale ya gazeti la uhuru baada ya samiah kushika hatamu eti "samiah sitogombea urais 2025"

MATOKEO

kampeni za mapema,mgao wa baiskeli na pikipiki,halafu mtego wa mauaji ya October 29 na sasa ICC inatokota plus kumalizana ndani ya chama ili kuficha ushahidi Rip Jenista mhagama waziri wa afya,Rip Lukuvi,Rip in advance to comrade nchimbi, innocent bashungwa and the like!!

Sasa na hii move sijui matokeo yake!!

Nawaza na kuwazua na SI lazima mawazo yangu yatakua sahihi Wala sio ukweli halisi bali speculation TU na kuchangia uchumi wa bando,nisipoandika nani ataandika!!?

Kazi na utu,Mimi nasonga mbele na CCM na comrade samiah suluhu mwenyeketi wetu!!
 
Draft linapigwa si mchezo.
Watalaam wanasogeza kete siyo poa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…