saidoo25
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 640
- 1,517
Mbunge wa Kilombero, Aboubakar Assenga amesema watanzania hawatarajii ruhusa ya mikutano iliyotolewa kwa vyama vya siasa wataitumia kutukana viongozi waliofariki.
Pia amesema watanzania wanakumbuka kipindi cha utawala wa JK wapinzani walisema nini, Kipindi cha JPM walisema nini na sasa kipindi cha Samia wanasema nini
Pia amesema watanzania wanakumbuka kipindi cha utawala wa JK wapinzani walisema nini, Kipindi cha JPM walisema nini na sasa kipindi cha Samia wanasema nini