mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,912
- 8,639
Hii dunia tunapita tu ! Kila mtu atakufa siku yake ikifika na ni lazima itafika hiyo siku !! Kama mtu alitenda maovu mimi nadhani huyo mtu atakuwa na hasara kubwa huko aendako hivyo anastahili kuhurumiwa badala ya kutukanwa !! Tuishi tutakavyoishi lakini tutakufa tu !!Mbunge wa Kilombero, Aboubakar Assenga amesema watanzania hawatarajii ruhusa ya mikutano iliyotolewa kwa vyama vya siasa wataitumia kutukana viongozi waliofariki.
Pia amesema watanzania wanakumbuka kipindi cha utawala wa JK wapinzani walisema nini, Kipindi cha JPM walisema nini na sasa kipindi cha Samia wanasema nini
View attachment 2475257