Kipindi cha JPM wapinzani walisema nini?
Walisemea wapi na walikatazwa na walihukumiwa kila waliposema?
Mbunge tulia. Tulia kabisa na ujiandae. Hakuna mtanzania kakutuma umsemee anayotaka kusikia, hujatumwa na watanzania kuwasema wanachotaka kusikia ila unalipwa na Wana kilombero kwa kuwasemea mambo yao ya jimbo lao.
Hivi ni ruhusa au ni haki yetu kwa mujibu wa katiba na sheria??? Chawa wa Ccm mna shida sanaMbunge wa Kilombero, Aboubakar Assenga amesema watanzania hawatarajii ruhusa ya mikutano iliyotolewa kwa vyama vya siasa wataitumia kutukana viongozi waliofariki.
Pia amesema watanzania wanakumbuka kipindi cha utawala wa JK wapinzani walisema nini, Kipindi cha JPM walisema nini na sasa kipindi cha Samia wanasema nini
View attachment 2475257
Wapinzani walikuwa wanafanya kazi zao, kila wakati walifanya mikutano ya ndani na hata Press na tulikuwa tunawasikia, wananchi bado wanajiuliza maswali mengi, kwanini kipindi chote cha utawala ya Rais Samia walishindwa kufanya Press kutoa matamko kuhusu matatizo makubwa yanayowasibu wananchi. Ni kipi wanataka kwenda kusema kwenye mikutano ambacho walizuiliwa baada ya Hayati Magufuli kufariki.Kipindi cha JPM wapinzani walisema nini?
Walisemea wapi na walikatazwa na walihukumiwa kila waliposema?
Mbunge tulia. Tulia kabisa na ujiandae. Hakuna mtanzania kakutuma umsemee anayotaka kusikia, hujatumwa na watanzania kuwasema wanachotaka kusikia ila unalipwa na Wana kilombero kwa kuwasemea mambo yao ya jimbo lao.
Dah Zitto angepumzika tu siasa
Wapinzani walikuwa wanafanya kazi zao, kila wakati walifanya mikutano ya ndani na hata Press na tulikuwa tunawasikia, wananchi bado wanajiuliza maswali mengi, kwanini kipindi chote cha utawala ya Rais Samia walishindwa kufanya Press kutoa matamko kuhusu matatizo makubwa yanayowasibu wananchi. Ni kipi wanataka kwenda kusema kwenye mikutano ambacho walizuiliwa baada ya Hayati Magufuli kufariki.
Mbunge wa Kilombero, Aboubakar Assenga amesema watanzania hawatarajii ruhusa ya mikutano iliyotolewa kwa vyama vya siasa wataitumia kutukana viongozi waliofariki.
Pia amesema watanzania wanakumbuka kipindi cha utawala wa JK wapinzani walisema nini, Kipindi cha JPM walisema nini na sasa kipindi cha Samia wanasema nini
View attachment 2475257
Wapinzani wa Tanzania ni vilaza wakubwa
Wapinzani walikuwa wanafanya kazi zao, kila wakati walifanya mikutano ya ndani na hata Press na tulikuwa tunawasikia, wananchi bado wanajiuliza maswali mengi, kwanini kipindi chote cha utawala ya Rais Samia walishindwa kufanya Press kutoa matamko kuhusu matatizo makubwa yanayowasibu wananchi. Ni kipi wanataka kwenda kusema kwenye mikutano ambacho walizuiliwa baada ya Hayati Magufuli kufariki.
Wapinzani walikuwa wanafanya kazi zao, kila wakati walifanya mikutano ya ndani na hata Press na tulikuwa tunawasikia, wananchi bado wanajiuliza maswali mengi, kwanini kipindi chote cha utawala ya Rais Samia walishindwa kufanya Press kutoa matamko kuhusu matatizo makubwa yanayowasibu wananchi. Ni kipi wanataka kwenda kusema kwenye mikutano ambacho walizuiliwa baada ya Hayati Magufuli kufariki.
Vipi umeshajifungua mimba ya mbowe dada ?Wapinzani wa Tanzania ni vilaza wakubwa