Mbunge Assenga watu hawatarajii mtaenda kutukana viongozi waliofariki

Hii dunia tunapita tu ! Kila mtu atakufa siku yake ikifika na ni lazima itafika hiyo siku !! Kama mtu alitenda maovu mimi nadhani huyo mtu atakuwa na hasara kubwa huko aendako hivyo anastahili kuhurumiwa badala ya kutukanwa !! Tuishi tutakavyoishi lakini tutakufa tu !!
 
Wrong!! Matatizo ya wananchi hayawezi kuzungumzwa kwenye mikutano ya ndani - yanayozungumziwa huko ni mambo ya kiutendaji ya chama, uendeshaji, mikakati nk. Unataka kujifanya hujui/umesahau kuwa mikutano ya ndani katika maeneo mengi nchini ilizuiliwa kwa kisingizio kuwa wanafanya mikutano hiyo sio viongozi katika eneo husika??? Umesahau hata press ambazo zilifanyika nje ya makao makuu ya vyama hivo zilizuiliwa?? Unadhani ni kwa bahati mbaya press zilifanyika katika makao makuu ya vyama??

Umeshangaza katika jambo moja, kumbe unafahamu wananchi wana matatizo makubwa yanawasibu!! Basi sasa subiri matatizo hayo hayo uliyoyasikia kwenye press yakarudiwe, kwani kuna ubaya kuyarudia au kuyasema kwa mapana zaidi?? Kuondolewa kwa zuio na SSH, ambalo halikuwekwa na mahakama, ni uthibitisho kuwa lilikuwepo na ni CCM pekee ndio ilikuwa na haki ya kufanya makusanyiko kwa kivuli cha Rais.

Acha sasa wabunge (bila kujali vyama vyao) wawajibike kwa wananchi!! Ni kwa sababu wapinzani wakienda kufanya mikutano katika maeneo ya walioshinda - inawalazimu walioshinda kutoa maelezo, ufafanuzi, kusema kuna uongo nk. Sio kusubiri tu Rais kuzugumza huku akishangiliwa kuwa kila kitu kiko sawa.

Acha watu washiriki siasa kwa mujibu wa katiba. Hao wananchi unaowawakilisha wanaweza kuamua kutosikiliza mikutano na wakaendelea kusikiliza pressers na watakuwa sawa tu!!!
 
Ufipa huwa wanajisahau sana inatakiwa waje wachukue somo hapa
 
Waliobebwa wote 2020 nyoosheni mikono juu kabla fagio la chuma halijapita 2025. Mikutano imetangazwa tu tayari mmeanza kujiharishia.
Haya ni mawazo mgando ya watu wapuuzi wa aina yako!

Kuna ubaya gani aliousema hapo?

Na matusi ndio itakuwa kaburi lenu kwa mara ingine,baada ya 2020 kukataliwa na wananchi.

Muda ni shahidi mzuri kabisa!
 
Huyo pimbi ndiyo wale walioingizwa mjengoni kwa kokoro la yule dhalim aliyeko jehanam
 
unaanza kujiami watu wanakutuhumu heti hizo taa barabalani bei iliotumika kuzinunua sio halali pamoja na sitendi ya makali jiandae kujibu hoja siku cdm wakija ifakara

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
kufa lazima kama ulitenda mazuli kisha ukafa utasemwa kwao kama utenda maovu lazima wakeseme tu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
wanakwenda kumtukana marehemu kuanzia asubuhi mpaka jioni na wapumbavu wanakaa kuwasikiliza na hili ni kosa la mama samia kunyamazia makufuli akitukanwa na upande wa pili na yeye kushabikia lakini naapa kwa mungu akija kuondoka madarakani mama samia ndio atatukanwa kuliko marais wote duniani hayo yatakuwa malipo kwa mungu, na hao wanaomtukana jpm hawatakuwa na umaarufu wowote ila wataporomoka na watadharauliwa
 

..wakitukanwa viongozi wa upinzani mnaona ni sawa.
 
huyu mtoto wa fundi cherehani anaweweseka
Tunataka waseme kila kitu, wananchi tutachuja ukweli ni upi na uongo ni upi. Ukweli ni ukweli haijalishi utamgusa aliye hai au mfu. Ni kipi wanataka kuficha kwa hao viongozi waliokufa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…