Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Kumbe na wewe ni wale wale tu. Hujui hata kazi ya Bunge. Ujue huko si mahali pa kulete mizaha na vichekesho vyenu. Pesa za walipa kodi zinateketea. Tunahitaji seriousness na matokeo mema kwa maisha yetu!Acheni wivu hilo jambo linatugusa wananchi kwahiyo ni muhimu kujadiliwa. Maana lile goli la feisal ni la hatari
Mkuu kumbe hujamwelewa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumbe na wewe ni wale wale tu. Hujui hata kazi ya Bunge. Ujue huko si mahali pa kulete mizaha na vichekesho vyenu. Pesa za walipa kodi zinateketea. Tunahitaji seriousness na matokeo mema kwa maisha yetu!
Mimba ya Magufuli itawatesa kwa miaka 59 ijayoMagufuli ametuachia mzigo wa hili kusanyiko la mazuzu wa CCM mjengoni. Ni hasara kubwa kwa nchi yetu kukosa Bunge Kwa miaka mitano hii
Angerogwa juu kwa juu, umharibie mtu msosi wake hiv hvi kisa wewe unatafuta heshima. Nae angetoka madarakani au ni kwa wabunge tu huku ye akila bata ya urais?Watu tulishauri Mh. Rais avunje "bonge" turudi kwenye uchaguzi,kwani bilioni 300 za kufanya uchaguzi utakaotupatia viongozi wa wananchi tulikuwa nazo na tunazo,ila kwa vile uoga ni jadi ya CCM, hakukubali hili...
Uliendako ukamkuta motoni au ndo vile tu ibilisi yuko kazini kudhihaki kazi ya Mungu? Hakuna ajuaye mwema na muovu mbele ya Mungu, huenda na wazee wako wako huko je nao ni ma ibilisi? Mnakufuru sana kutusi waliotutanguliaWewe wale mapacha aliokuachia familia yake inakupa matunzo au unaogopa kwenda kujitambulisha? Sisi furaha yetu ni kubwa kuwa huyu ibilisi yuko motoni sasa hivi anateseka
Mnamtengaishaje raisi na chama chake? Watatofautiana Ila chama chake kwanza na uraisi wake kwanza. Wale ambao ataona haendi nao sawa watatafutiwa namna nyingine.Watu tulishauri Mh. Rais avunje "bonge" turudi kwenye uchaguzi,kwani bilioni 300 za kufanya uchaguzi utakaotupatia viongozi wa wananchi tulikuwa nazo na tunazo,ila kwa vile uoga ni jadi ya CCM, hakukubali hili...
Ipo siku watasema Mahakamani kesi zisimameHao ndio wale wabunge walioteuliwa na magufuli wanataka mwongozo kwa spika wa kujadili Yanga kuifunga Simba.
Nadhani hadhi na heshima ya huu muhimili katika hili bunge inazidi kushuka kila uchwao wabunge wamelifanya bunge kama sehemu ya kufanya mizaha.
Mara walie mara wapige sarakasi mara wapige magoti
Ni aibu kwa huu muhimili na mwingine ndio huyo anataka mwongozo
Wabunge kumbuka mnalipwa mamilioni kama mishahara na posho ambazo ni kodi za masikini wa nchi hii ambao wao wanaishi kwa shida.
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Bunge limekuwa banda lililojaa mitetea bila jogoo halafu mfugaji anasubiria vifaranga....Hao ndio wale wabunge walioteuliwa na magufuli wanataka mwongozo kwa spika wa kujadili Yanga kuifunga Simba...
Matendo yake aliyofanya enzi za uhai wake ndiyo yamempeleka motoniUliendako ukamkuta motoni au ndo vile tu ibilisi yuko kazini kudhihaki kazi ya Mungu? Hakuna ajuaye mwema na muovu mbele ya Mungu, huenda na wazee wako wako huko je nao ni ma ibilisi? Mnakufuru sana kutusi waliotutanguliaaten op
Wabunge ni reflection ya wananchi, hivyo tujitafakari vizuri ...Hao ndio wale wabunge walioteuliwa na magufuli wanataka mwongozo kwa spika wa kujadili Yanga kuifunga Simba.
Nadhani hadhi na heshima ya huu muhimili katika hili bunge inazidi kushuka kila uchwao wabunge wamelifanya bunge kama sehemu ya kufanya mizaha.
Mara walie mara wapige sarakasi mara wapige magoti
Ni aibu kwa huu muhimili na mwingine ndio huyo anataka mwongozo
Wabunge kumbuka mnalipwa mamilioni kama mishahara na posho ambazo ni kodi za masikini wa nchi hii ambao wao wanaishi kwa shida.
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app