Michael mbano
JF-Expert Member
- Apr 4, 2022
- 820
- 570
uzembe sana.Hao ndio wale wabunge walioteuliwa na magufuli wanataka mwongozo kwa spika wa kujadili Yanga kuifunga Simba.
Nadhani hadhi na heshima ya huu muhimili katika hili bunge inazidi kushuka kila uchwao wabunge wamelifanya bunge kama sehemu ya kufanya mizaha.
Mara walie mara wapige sarakasi mara wapige magoti
Ni aibu kwa huu muhimili na mwingine ndio huyo anataka mwongozo
Wabunge kumbuka mnalipwa mamilioni kama mishahara na posho ambazo ni kodi za masikini wa nchi hii ambao wao wanaishi kwa shida.
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Mbinu iliyotumika kufunga lile goli hakika ilikuwa ni ya medani.Acheni wivu hilo jambo linatugusa wananchi kwahiyo ni muhimu kujadiliwa. Maana lile goli la feisal ni la hatari
Siku CCM wakitoka madarakani hiyo mitimu nayo ishushwe daraja inatumika kuwapumbaza wananchiHao ndio wale wabunge walioteuliwa na Magufuli wanataka mwongozo kwa spika wa kujadili Yanga kuifunga Simba.
Nadhani hadhi na heshima ya huu muhimili katika hili bunge inazidi kushuka kila uchwao wabunge wamelifanya bunge kama sehemu ya kufanya mizaha.
Mara walie mara wapige sarakasi mara wapige magoti.
Ni aibu kwa huu muhimili na mwingine ndio huyo anataka mwongozo.
Wabunge kumbuka mnalipwa mamilioni kama mishahara na posho ambazo ni kodi za masikini wa nchi hii ambao wao wanaishi kwa shida.
je unaweza enda nyumba ya ibada ili kuomba sala zisimame wapishe kutafakari ushindi wa timu? Bunge ni mahala paitwapo " PATAKATIFU KISHERIA" hapo ndipo mungu anashuka kuwapa busara wabunge kuchambua serikali. uchizi marufukuAcheni wivu hilo jambo linatugusa wananchi kwahiyo ni muhimu kujadiliwa. Maana lile goli la feisal ni la hatari
Angalia usije acha goli wazi akakufunga na weweAcheni wivu hilo jambo linatugusa wananchi kwahiyo ni muhimu kujadiliwa. Maana lile goli la feisal ni la hatari
Yanga inatambuliwa bongo kwa kuifunga Simba goli moja linalouma sana! kujulikana CAF haina faida yoyote wala haituhusu wananchi!Kwani yanga ndo nini? Maana kuna jamaa aliniambia eti ni timu ya mpira Tanzania. Nikajaribu kuhakiki kwenye orodha ya timu bora 50 afrika sikuiona!! Au haitambuliwi na CAF?
Kalia hayo mwenzio ndo kiranja wa malaika sa hivi. 😂 motoni utaenda wewe unayeombea watu vifo kama shetwaini.Matendo yake aliyofanya enzi za uhai wake ndiyo yamempeleka motoni
Miaka yote wabunge wa ccm ndio huwa wengi kuliko vyama pinzani na hivyo vituko huwa vipo tu.Hao ndo wabunge wa CCM chief
Bora mpoki aliita mjengoni😁😁Lile sio Bunge kwa mamlaka niliyo pewa kuanzia leo litaitwa "Kibanda umiza"