Mkuu,Ninaomba unijibu yote kama unaweza ili na mimi nipate kujifunza kupitia wewe..
Kwa Tanzania ilivyo, Waziri wa Ulinzi ni kama hana power kabisa na ndio maana anateuliwa hata mtu hajui kutumia field binoculars. Hana kazi nyingi yeye ni kulindwa tu na kumuwakilisha Rais, mengine yote anapangiwa na kuelekezwa.NJE YA MADA.
======
Kwanini Tanzania hakuna naibu waziri wa ulinzi?? Au yupo lakini mimi ndio sijui??
CC: Sakasaka Mao T14 Armata Retired Kiranga JokaKuu
Mwananchi asiyejua kusoma na kuandika anaweza kumtambua kiongozi mzuri anayefaa??..wananchi wapewe nafasi kupata na kuchagua mtu anayefaa kwa nafasi inayoshindaniwa.
Mkuu, shukrani sana. Nimejifunza kitu hapa..Kwa Tanzania ilivyo, Waziri wa Ulinzi ni kama hana power kabisa na ndio maana anateuliwa hata mtu hajui kutumia field binoculars. Hana kazi nyingi yeye ni kulindwa tu na kumuwakilisha Rais, mengine yote anapangiwa na kuelekezwa.
Hana sera zake binafsi, sio kama Shukuru Kawambwa alivyoleta BRN au Mungai alivyoondoa elimu ya kujitegemea.
Hivyo basi sijawahi msikia Naibu Waziri wa Ulinzi. Tofauti na Urusi ambao Waziri wa Ulinzi ndio anasimama kama CDF, alafu jeshini mwenye cheo kikubwa ni CoS. Na wana manaibu wa MoD wengi unakuta logistics inaongozwa na naibu waziri.
Hahahaa aisee, hatari sana..Mkuu,
Tanzania ni nchi ya ajabu sana, unaweza kuambiwa muundo wa wizara ya ulinzi ni classified information.
JFK?? Kabila Senior wa DRC?? Waliteuliwa au walipigiwa kura hawa??Idadi ya vifo haitaongezeka kweli?
Mkuu JokaKuu unaweza ukatia neno lolote hapa..
Alafu mkuu (out of curiosity) ninaomba kujua, jinsi Mh. Philip Mpango alivyopatikana kama Makamu wa Rais, mchakato mzima upo ndani ya katiba??
CC: Pascal Mayalla
Shukrani sana mkuu....mchakato upo kikatiba.
..utaratibu wa kumpata Makamu wa Rais pale ambapo kumetokea mabadiliko ktk nafasi ya Raisi.
..kuna utaratibu wa kumpata Rais na Makamu kupitia uchaguzi.
..Kuna utaratibu wa kumpata Raisi na makamu ikiwa kutatokea kifo cha Raisi, kujiuzulu, etc.
..Yote yameelezewa ndani ya KATIBA.
Mbunge ni mwakilishi wa wananchi lazima achaguliwe na wananchiEti wadau, hii itasaidia kupunguza matumizi kwa hizi third world countries kama Tanzania?? How does this sound..
Mfano: Kafa Magufuli, akaingia Philip Mpango bila gharama za uchaguzi..
~ SIPENDI SIASA ~
Mkuu, ingawa una hoja nzuri ila angalizo ni kuwa hii ni Tanganyika.JFK?? Kabila Senior wa DRC?? Waliteuliwa au walipigiwa kura hawa??
....Yes mkuu....and that's where the problem lies. Tanzania na mambo yake..Mkuu, ingawa una hoja nzuri ila angalizo ni kuwa hii ni Tanganyika.
Mwananchi asiyejua kusoma wala kuandika anawezaje kumtambua mbunge anayefaa zaidi ya kurubuniwa kwa kofia na t-shirts ya over size??..Mbunge ni mwakilishi wa wananchi lazima achaguliwe na wananchi
Kabisa boss....Yes mkuu....and that's where the problem lies. Tanzania na mambo yake..