Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Mkuu,Ninaomba unijibu yote kama unaweza ili na mimi nipate kujifunza kupitia wewe..
Tanzania ni nchi ya ajabu sana, unaweza kuambiwa muundo wa wizara ya ulinzi ni classified information.
Kwenye tovuti ya wizara sehemu ya muundo wa wizara haina kitu.
Sasa sijui ndiyo uzembe wetu wa kawaida wa kuto update websites, au ni kitu cha makusudi kuficha "classified information"?
Muundo wa Wizara | Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
www.modans.go.tz