Mbunge au Diwani, akifa au kuhama chama, achaguliwe mwingine wa chama kile kile na kamati ya Wilaya au Mkoa. How does this sound?

NJE YA MADA.
======
Kwanini Tanzania hakuna naibu waziri wa ulinzi?? Au yupo lakini mimi ndio sijui??

CC: Sakasaka Mao T14 Armata Retired Kiranga JokaKuu
Kwa Tanzania ilivyo, Waziri wa Ulinzi ni kama hana power kabisa na ndio maana anateuliwa hata mtu hajui kutumia field binoculars. Hana kazi nyingi yeye ni kulindwa tu na kumuwakilisha Rais, mengine yote anapangiwa na kuelekezwa.
Hana sera zake binafsi, sio kama Shukuru Kawambwa alivyoleta BRN au Mungai alivyoondoa elimu ya kujitegemea.

Hivyo basi sijawahi msikia Naibu Waziri wa Ulinzi. Tofauti na Urusi ambao Waziri wa Ulinzi ndio anasimama kama CDF, alafu jeshini mwenye cheo kikubwa ni CoS. Na wana manaibu wa MoD wengi unakuta logistics inaongozwa na naibu waziri.
 
wananchi wapewe nafasi kupata na kuchagua mtu anayefaa kwa nafasi inayoshindaniwa.
Mwananchi asiyejua kusoma na kuandika anaweza kumtambua kiongozi mzuri anayefaa??..
 
Kwa Tanzania ilivyo, Waziri wa Ulinzi ni kama hana power kabisa na ndio maana anateuliwa hata mtu hajui kutumia field binoculars. Hana kazi nyingi yeye ni kulindwa tu na kumuwakilisha Rais, mengine yote anapangiwa na kuelekezwa.
Hana sera zake binafsi, sio kama Shukuru Kawambwa alivyoleta BRN au Mungai alivyoondoa elimu ya kujitegemea.

Hivyo basi sijawahi msikia Naibu Waziri wa Ulinzi. Tofauti na Urusi ambao Waziri wa Ulinzi ndio anasimama kama CDF, alafu jeshini mwenye cheo kikubwa ni CoS. Na wana manaibu wa MoD wengi unakuta logistics inaongozwa na naibu waziri.
Mkuu, shukrani sana. Nimejifunza kitu hapa..
 
Alafu mkuu (out of curiosity) ninaomba kujua, jinsi Mh. Philip Mpango alivyopatikana kama Makamu wa Rais, mchakato mzima upo ndani ya katiba??

CC: Pascal Mayalla

..mchakato upo kikatiba.

..utaratibu wa kumpata Makamu wa Rais pale ambapo kumetokea mabadiliko ktk nafasi ya Raisi.

..kuna utaratibu wa kumpata Rais na Makamu kupitia uchaguzi.

..Kuna utaratibu wa kumpata Raisi na makamu ikiwa kutatokea kifo cha Raisi, kujiuzulu, etc.

..Yote yameelezewa ndani ya KATIBA.
 
Shukrani sana mkuu..
 
Eti wadau, hii itasaidia kupunguza matumizi kwa hizi third world countries kama Tanzania?? How does this sound..

Mfano: Kafa Magufuli, akaingia Philip Mpango bila gharama za uchaguzi..

~ SIPENDI SIASA ~
Mbunge ni mwakilishi wa wananchi lazima achaguliwe na wananchi
 
Mwananchi asiyejua kusoma wala kuandika anawezaje kumtambua mbunge anayefaa zaidi ya kurubuniwa kwa kofia na t-shirts ya over size??..
 
Back
Top Bottom