Hii nchi kuna wkt mtu unajionea aibu kua mtanzania kwa aibu km hizi.Mijadala km hii ni kwa faida ya nani!?.Hapo bungeni kwa mada hizo zitazungumziwa ,zitachangiwa
Mpaka basi
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii nchi kuna wkt mtu unajionea aibu kua mtanzania kwa aibu km hizi.Mijadala km hii ni kwa faida ya nani!?.Hapo bungeni kwa mada hizo zitazungumziwa ,zitachangiwa
Mpaka basi
Ova
Hakushinda ni nguvu za"kiongozi wa malaika"zilimbeba 😂Mjinga sana kageuza bunge sehemu ya mipasho ya uswahilini mitaani
Kwa kweli ni mzigo .CCM wasilirudishe hilo jinga Kwa kweli.Wawe na huruma na wananchi
Haoleweki huyo na nyie vijana wa kisasa laini laini wapaka poda na wavaa vipensi hamumuwezi. Yeye ndio atawaoa na kuwapiga miti huyo. Hata kama ni tangazo, kaeni nalo mbali.😀😃😄😁Tangazo la Biashara Hilo kuwa hajaolewa anataka kuolewa
Au wanapisema hajaolewa maana yake Hana sia za mtu aliyeolewa yaani Yuko hovyo tu
Wanawake walioolewa Huwa Wana tabia zao na hulka Fulani za kijiheshimu nk
Yeye Ina maana alivyo mtu akiukiza kaolewa huyu anajibiwa hajaolewa huyu hamna lolote
Inasikitisha mno Tena mno hayo ndio ya kuongiza kwenye Hansard kweli? Spika akamlazimisha akae chini kuwa ajadili Hoja iliyo mbele yake sio mambo yake binafsi ya kutoolewaHaya ndio yanajadiliwa bungeni !!
Kibibi kama yeye kijana Gani amtake ? Hata vizee vikongwe vya kiume Rijali haviwezi mtaka keshafika saa Kumi jioni huyo unono hamna na hawezi enda muda mrefu kwenye mechiHaoleweki huyo na nyie vijana wa kisasa laini laini wapaka poda na wavaa vipensi hamumuwezi. Yeye ndio atawaoa na kuwapiga miti huyo. Hata kama ni tangazo, kaeni nalo mbali.😀😃😄😁
Nipe namba yake.Kamuoe
ChupiHuyu alikuaje mbunge??
[Name] Jesca MsambatavanguNipe namba yake.
Sasa kwa nini linaitwa Bunge na maamuzi yake yanatuhusu? Mhe. Mhagama ametumia zaidi ya nusu ya muda wa kuwasilisha Muswada akimsifia SSH ati apewe maua. Nani anamzua Mhagama kumpelekea maua SSH. Nyerere aliwahi kutuasa tusiwazuie watu na akili zao waliotaka kumbeba Mrema alipokuwa NCCR Mageuzi. Wabunge wenyewe unawasikia wanavyoimba mapambio badala ya kuelezea vigezo vya kimataifa vya Tume Huru ambavyo vingefaa hapa nchini kukidhi hoja ya TEC ya Tume Huru na Taasisi nyingine. Bunge la utata hili lilitakiwe limwogope Mungu lisikilize hoja za wananchi lakini wapi.Mwizi mwenyewe huwa anaona aibu ikibainika kuwa keba. Hivi SSH mwenyewe kweli anaweza kujivunia kuwa ana Bunge? Binafsi naona aibu hata kuwasikiliza! Tanzania ya miaka 5 mpaka 2025 itakuwa Tanzania ya ajabu kabisa.Na ndiyo maana alikufa kiboya sana