Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,483
- 2,392
WABUNGE WA NCHI HII BADALA YA KUJADILI SHIDA NA MATATIZO YA WANANCHI KWA UJUMLA WANAJADILI NANI KAOA NANI KAOLEWA NI UJINGAMbunge wa Iringa Mjinga , Mh Jesca Msambatavangu amewaponda wote wanaompiga majungu kwamba hajaolewa .
Akizungumza kwa jazba bungeni leo , Mbunge huyo amedai kwamba jambo kubwa linalopaswa kuangaliwa ni hoja zake bila kujali kama ameolewa au la
Ikumbukwe kwa Mh Msambatavangu ndiye mbunge pekee anayehamasisha nguvu za kiume kwa vijana bungeni
View attachment 2889716
Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app