Mbunge awachana bungeni wanaodai hajaolewa

Mbunge wa Iringa Mjinga , Mh Jesca Msambatavangu amewaponda wote wanaompiga majungu kwamba hajaolewa .

Akizungumza kwa jazba bungeni leo , Mbunge huyo amedai kwamba jambo kubwa linalopaswa kuangaliwa ni hoja zake bila kujali kama ameolewa au la

Ikumbukwe kwa Mh Msambatavangu ndiye mbunge pekee anayehamasisha nguvu za kiume kwa vijana bungeni

View attachment 2889716
Huyu si alishawahi laumu vijana kwa nini hawaoi?
 
Mbunge wa Iringa Mjinga , Mh Jesca Msambatavangu amewaponda wote wanaompiga majungu kwamba hajaolewa .

Akizungumza kwa jazba bungeni leo , Mbunge huyo amedai kwamba jambo kubwa linalopaswa kuangaliwa ni hoja zake bila kujali kama ameolewa au la

Ikumbukwe kwa Mh Msambatavangu ndiye mbunge pekee anayehamasisha nguvu za kiume kwa vijana bungeni

View attachment 2889716
Wanaacha kujadili masuala ya mfumuko wa Bei za bidhaa mtaani ili kumpunguzia Mwananchi ukali wa maisha,wao wanajadili masuala binafsi ya kuoana!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Mbunge wa Iringa Mjinga , Mh Jesca Msambatavangu amewaponda wote wanaompiga majungu kwamba hajaolewa .

Akizungumza kwa jazba bungeni leo , Mbunge huyo amedai kwamba jambo kubwa linalopaswa kuangaliwa ni hoja zake bila kujali kama ameolewa au la

Ikumbukwe kwa Mh Msambatavangu ndiye mbunge pekee anayehamasisha nguvu za kiume kwa vijana bungeni

View attachment 2889716
Daima bunge la chama kimoja haliwezi kuwa na sifa njema
 
Tangazo la Biashara Hilo kuwa hajaolewa anataka kuolewa

Au wanapisema hajaolewa maana yake Hana sia za mtu aliyeolewa yaani Yuko hovyo tu
Wanawake walioolewa Huwa Wana tabia zao na hulka Fulani za kijiheshimu nk

Yeye Ina maana alivyo mtu akiukiza kaolewa huyu anajibiwa hajaolewa huyu hamna lolote
 
Tom Boy lile. Linawakoboa tu mabinti wa Iringa University pamoja na RUCU hapa Iringa.
 
Mbunge wa Iringa Mjinga , Mh Jesca Msambatavangu amewaponda wote wanaompiga majungu kwamba hajaolewa .

Akizungumza kwa jazba bungeni leo , Mbunge huyo amedai kwamba jambo kubwa linalopaswa kuangaliwa ni hoja zake bila kujali kama ameolewa au la

Ikumbukwe kwa Mh Msambatavangu ndiye mbunge pekee anayehamasisha nguvu za kiume kwa vijana bungeni

View attachment 2889716

"Ndiye mbunge pekee aliyehamasisha nguvu za kimue kwa vijana bungeni"

Tanzania ngumu hii, inaitaji mbinu mpya jameni kuimusu
 
Mjinga sana kageuza bunge sehemu ya mipasho ya uswahilini mitaani

Kwa kweli ni mzigo .CCM wasilirudishe hilo jinga Kwa kweli.Wawe na huruma na wananchi
 
Back
Top Bottom