Mbunge awachana bungeni wanaodai hajaolewa

Mjinga sana kageuza bunge sehemu ya mipasho ya uswahilini mitaani

Kwa kweli ni mzigo .CCM wasilirudishe hilo jinga Kwa kweli.Wawe na huruma na wananchi
Hakushinda ni nguvu za"kiongozi wa malaika"zilimbeba πŸ˜‚
 
Haoleweki huyo na nyie vijana wa kisasa laini laini wapaka poda na wavaa vipensi hamumuwezi. Yeye ndio atawaoa na kuwapiga miti huyo. Hata kama ni tangazo, kaeni nalo mbali.πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜
 
Haya ndio yanajadiliwa bungeni !!
Inasikitisha mno Tena mno hayo ndio ya kuongiza kwenye Hansard kweli? Spika akamlazimisha akae chini kuwa ajadili Hoja iliyo mbele yake sio mambo yake binafsi ya kutoolewa
 
Haoleweki huyo na nyie vijana wa kisasa laini laini wapaka poda na wavaa vipensi hamumuwezi. Yeye ndio atawaoa na kuwapiga miti huyo. Hata kama ni tangazo, kaeni nalo mbali.πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜
Kibibi kama yeye kijana Gani amtake ? Hata vizee vikongwe vya kiume Rijali haviwezi mtaka keshafika saa Kumi jioni huyo unono hamna na hawezi enda muda mrefu kwenye mechi
 
Nimekupa gari, nyumba,mshahara nakulipa mimi halafu umtangaze mpinzani hiiiiiiiiiiiii !!!!!
 
Na ndiyo maana alikufa kiboya sana
Sasa kwa nini linaitwa Bunge na maamuzi yake yanatuhusu? Mhe. Mhagama ametumia zaidi ya nusu ya muda wa kuwasilisha Muswada akimsifia SSH ati apewe maua. Nani anamzua Mhagama kumpelekea maua SSH. Nyerere aliwahi kutuasa tusiwazuie watu na akili zao waliotaka kumbeba Mrema alipokuwa NCCR Mageuzi. Wabunge wenyewe unawasikia wanavyoimba mapambio badala ya kuelezea vigezo vya kimataifa vya Tume Huru ambavyo vingefaa hapa nchini kukidhi hoja ya TEC ya Tume Huru na Taasisi nyingine. Bunge la utata hili lilitakiwe limwogope Mungu lisikilize hoja za wananchi lakini wapi.Mwizi mwenyewe huwa anaona aibu ikibainika kuwa keba. Hivi SSH mwenyewe kweli anaweza kujivunia kuwa ana Bunge? Binafsi naona aibu hata kuwasikiliza! Tanzania ya miaka 5 mpaka 2025 itakuwa Tanzania ya ajabu kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…