Tetesi: Mbunge Chadema akataliwa kujiunga CCM, atakiwa kungojea 2020

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Kuna taarifa ya kuwa CCM imemkatalia mbunge wa jimbo moja la Dar es Salaam kujiunga na chama hicho baada ya muda kupita.Barua ya kutaka kujiunga ilimfikia Polepole jana lkn majibu alitakiwa kusubiri uchaguzi ujao ambapo mbunge huyo alitaka mpango huo ubakie siri kati yake na CCM hasahasa sababu za kiusalama zikitajwa,.
Wengi hatutamfahamu huyu mbunge mpaka 2020,lkn pia CCM ilitoa muda wa kutosha.
 
Msitutoe kwenye mjadala wa Mafao ya Wastaafu hatutaki siasa za kizamani
 
Kuna taarifa ya kuwa CCM imemkatalia mbunge wa jimbo moja la Dar es Salaam kujiunga na chama hicho baada ya muda kupita.Barua ya kutaka kujiunga ilimfikia Polepole jana lkn majibu alitakiwa kusubiri uchaguzi ujao ambapo mbunge huyo alitaka mpango huo ubakie siri kati yake na CCM hasahasa sababu za kiusalama zikitajwa,.
Wengi hatutamfahamu huyu mbunge mpaka 2020,lkn pia CCM ilitoa muda wa kutosha.
Hili jambo la kuchukua wabunge wa upinzani limenifanya nimshangae sana mhe magufuli. Huyu sio mhe niliyekuwa namfahamu enzi zile za uwaziri wake.
 
Wewe si msaga sumu bali msambaza sumu.
 
Achana na mbunge kuhamia, Kiswahili chako ni kichefu chefu tupu...
Hakataliwa×
Akataliwa✓
 
Ikiwa taarifa za kweli basi sawa wako sawa sio tunachagua mtu anahama tunachagua tena mchezo hauhitaji haraka tuone majibu tutayapata hivi karibunj,
 
Wafuasi wa Mboe wameanza kuparaganyika, kusambaratika na kutawanyika! Bora akataliwe. Hawa ndio waliokuwa wanakula pesa za CHADEMA kwa mgongo wa Mboe. Sasa mwenzao utawala wake umefika mwisho ndio wanaanza kumkimbia na kujiweka mbali naye, wasije ombwa kulipa fadhila.
 
Hili jambo la kuchukua wabunge wa upinzani limenifanya nimshangae sana mhe magufuli. Huyu sio mhe niliyekuwa namfahamu enzi zile za uwaziri wake.
Mkuu huko CCM yamejaa mapooza.ndiyo maana anaongezea vichwa vilivyopikwa Chadema.
 
Wafuasi wa Mboe wameanza kuparaganyika, kusambaratika na kutawanyika! Bora akataliwe. Hawa ndio waliokuwa wanakula pesa za CHADEMA kwa mgongo wa Mboe. Sasa mwenzao utawala wake umefika mwisho ndio wanaanza kumkimbia, wasije ombwa kulipa fadhila.
Mboe ndio nani? JF imevamiwa na ngumbaru wa Chakubanga mpaka kero!
Huu usajili wa wachezaji wa ligi za mbuzi kwenye ligi kuu unaharibu mchezo.
 
Back
Top Bottom