Tetesi: Mbunge Chadema akataliwa kujiunga CCM, atakiwa kungojea 2020

Kuna taarifa ya kuwa CCM imemkatalia mbunge wa jimbo moja la Dar es Salaam kujiunga na chama hicho baada ya muda kupita.Barua ya kutaka kujiunga ilimfikia Polepole jana lkn majibu alitakiwa kusubiri uchaguzi ujao ambapo mbunge huyo alitaka mpango huo ubakie siri kati yake na CCM hasahasa sababu za kiusalama zikitajwa,.
Wengi hatutamfahamu huyu mbunge mpaka 2020,lkn pia CCM ilitoa muda wa kutosha.
 
Hili jambo la kuchukua wabunge wa upinzani limenifanya nimshangae sana mhe magufuli. Huyu sio mhe niliyekuwa namfahamu enzi zile za uwaziri wake.
Mkuu, usishangae! Kwenye chama chake wapo hao akina MSUKUMA, LUSINDE nk. Sasa unategemea hiyo TANZANIA YA MAGUFULI ataijengaje?
 
Kuna taarifa ya kuwa CCM imemkatalia mbunge wa jimbo moja la Dar es Salaam kujiunga na chama hicho baada ya muda kupita.Barua ya kutaka kujiunga ilimfikia Polepole jana lkn majibu alitakiwa kusubiri uchaguzi ujao ambapo mbunge huyo alitaka mpango huo ubakie siri kati yake na CCM hasahasa sababu za kiusalama zikitajwa,.
Wengi hatutamfahamu huyu mbunge mpaka 2020,lkn pia CCM ilitoa muda wa kutosha.
Huu ni uongo wa waziwazi.ccm wameona mbunge amekataa kujiunga baada ya ccm kuishiwa pesa za kununua wabunge.hata hivyo mbunge alikataa kujiunga ccm kwa kuwa anamisimamo ya kweli.
 
Swafiiii sana walahi
Kama jiwe walahi
IMG_20181125_183453.jpg
 
Back
Top Bottom