mekuoko
JF-Expert Member
- Nov 15, 2012
- 416
- 365
Mboe Ni Nini?Wafuasi wa Mboe wameanza kuparaganyika, kusambaratika na kutawanyika! Bora akataliwe. Hawa ndio waliokuwa wanakula pesa za CHADEMA kwa mgongo wa Mboe. Sasa mwenzao utawala wake umefika mwisho ndio wanaanza kumkimbia, wasije ombwa kulipa fadhila.