MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Msitutoe kwenye mjadala wa Mafao ya Wastaafu hatutaki siasa za kizamaniKuna taarifa ya kuwa CCM imemkatalia mbunge wa jimbo moja la Dar es Salaam kujiunga na chama hicho baada ya muda kupita.Barua ya kutaka kujiunga ilimfikia Polepole jana lkn majibu alitakiwa kusubiri uchaguzi ujao ambapo mbunge huyo alitaka mpango huo ubakie siri kati yake na CCM hasahasa sababu za kiusalama zikitajwa,.
Wengi hatutamfahamu huyu mbunge mpaka 2020,lkn pia CCM ilitoa muda wa kutosha.
Kujiunga na kundi la mashetani
Anayetaka kuhama Ni mtu ambaye huwezi kuamini,weka akiba ya manenoUpuuzi square
Kujiunga ccm ni kama laana vile
Unajiunga ccm ili iweje
Hili jambo la kuchukua wabunge wa upinzani limenifanya nimshangae sana mhe magufuli. Huyu sio mhe niliyekuwa namfahamu enzi zile za uwaziri wake.Kuna taarifa ya kuwa CCM imemkatalia mbunge wa jimbo moja la Dar es Salaam kujiunga na chama hicho baada ya muda kupita.Barua ya kutaka kujiunga ilimfikia Polepole jana lkn majibu alitakiwa kusubiri uchaguzi ujao ambapo mbunge huyo alitaka mpango huo ubakie siri kati yake na CCM hasahasa sababu za kiusalama zikitajwa,.
Wengi hatutamfahamu huyu mbunge mpaka 2020,lkn pia CCM ilitoa muda wa kutosha.
Wewe si msaga sumu bali msambaza sumu.Kuna taarifa ya kuwa CCM imemkatalia mbunge wa jimbo moja la Dar es Salaam kujiunga na chama hicho baada ya muda kupita.Barua ya kutaka kujiunga ilimfikia Polepole jana lkn majibu alitakiwa kusubiri uchaguzi ujao ambapo mbunge huyo alitaka mpango huo ubakie siri kati yake na CCM hasahasa sababu za kiusalama zikitajwa,.
Wengi hatutamfahamu huyu mbunge mpaka 2020,lkn pia CCM ilitoa muda wa kutosha.
Achana na mbunge kuhamia, Kiswahili chako ni kichefu chefu tupu...Kuna taarifa ya kuwa CCM imemkatalia mbunge wa jimbo moja la Dar es Salaam kujiunga na chama hicho baada ya muda kupita.Barua ya kutaka kujiunga ilimfikia Polepole jana lkn majibu alitakiwa kusubiri uchaguzi ujao ambapo mbunge huyo alitaka mpango huo ubakie siri kati yake na CCM hasahasa sababu za kiusalama zikitajwa,.
Wengi hatutamfahamu huyu mbunge mpaka 2020,lkn pia CCM ilitoa muda wa kutosha.
Mkuu huko CCM yamejaa mapooza.ndiyo maana anaongezea vichwa vilivyopikwa Chadema.Hili jambo la kuchukua wabunge wa upinzani limenifanya nimshangae sana mhe magufuli. Huyu sio mhe niliyekuwa namfahamu enzi zile za uwaziri wake.
Mkuu achana na huyo Mrs Walahi, akinyimwa unyumba na Mr anakuja JF kuwavuruga tuu!.............hakataliwa...............! ndo nini?
Mboe ndio nani? JF imevamiwa na ngumbaru wa Chakubanga mpaka kero!Wafuasi wa Mboe wameanza kuparaganyika, kusambaratika na kutawanyika! Bora akataliwe. Hawa ndio waliokuwa wanakula pesa za CHADEMA kwa mgongo wa Mboe. Sasa mwenzao utawala wake umefika mwisho ndio wanaanza kumkimbia, wasije ombwa kulipa fadhila.
Mboe ni mume wako!Mboe ndio nani? JF imevamiwa na ngumbaru wa Chakubanga mpaka kero!
Huu usajili wa wachezaji wa ligi za mbuzi kwenye ligi kuu unaharibu mchezo.
Mboe Ni Nini?