Mboe Ni Nini?Wafuasi wa Mboe wameanza kuparaganyika, kusambaratika na kutawanyika! Bora akataliwe. Hawa ndio waliokuwa wanakula pesa za CHADEMA kwa mgongo wa Mboe. Sasa mwenzao utawala wake umefika mwisho ndio wanaanza kumkimbia, wasije ombwa kulipa fadhila.
sisi tunalia na mafao hayo mengine ya chama hatutaki kuyasikiaKuna taarifa ya kuwa CCM imemkatalia mbunge wa jimbo moja la Dar es Salaam kujiunga na chama hicho baada ya muda kupita.Barua ya kutaka kujiunga ilimfikia Polepole jana lkn majibu alitakiwa kusubiri uchaguzi ujao ambapo mbunge huyo alitaka mpango huo ubakie siri kati yake na CCM hasahasa sababu za kiusalama zikitajwa,.
Wengi hatutamfahamu huyu mbunge mpaka 2020,lkn pia CCM ilitoa muda wa kutosha.
Hii ni zilipendwa kwa sasa tupo na mafao ya 25% na tarehe 6 dec. Kama vipi omba uzi wako ufichwe hadi utakamjua na huyo polex2 mbona kama ametumwa india kutibiwa? Hasikiki na hana na hapewi kiki tena!Anayetaka kuhama Ni mtu ambaye huwezi kuamini,weka akiba ya maneno
Kutoka Msaidizi muhimu Ikulu hadi mleta uzushi Jamii Forums. Ama kweli Karma is a b*tchKuna taarifa ya kuwa CCM imemkatalia mbunge wa jimbo moja la Dar es Salaam kujiunga na chama hicho baada ya muda kupita.Barua ya kutaka kujiunga ilimfikia Polepole jana lkn majibu alitakiwa kusubiri uchaguzi ujao ambapo mbunge huyo alitaka mpango huo ubakie siri kati yake na CCM hasahasa sababu za kiusalama zikitajwa,.
Wengi hatutamfahamu huyu mbunge mpaka 2020,lkn pia CCM ilitoa muda wa kutosha.
Kama uzushi unaomfanyia Mange Kimambi?Kutoka Msaidizi muhimu Ikulu hadi mleta uzushi Jamii Forums. Ama kweli Karma is a b*tch
Sasa Mimi na Balali nani analeta uzush,sasa hv unabahatisha tu majina mitandaoni,Kutoka Msaidizi muhimu Ikulu hadi mleta uzushi Jamii Forums. Ama kweli Karma is a b*tch
Hahahaha, rubbish!!Takataka
Uzushi hausaidii kuifanya Tanzania iwe ya viwanda. Kwani hakujua deadline ya kuhama iliwekwa wazi, na pia NEC ilitangaza chaguzi ndogo mwisho lini?Kuna taarifa ya kuwa CCM imemkatalia mbunge wa jimbo moja la Dar es Salaam kujiunga na chama hicho baada ya muda kupita.Barua ya kutaka kujiunga ilimfikia Polepole jana lkn majibu alitakiwa kusubiri uchaguzi ujao ambapo mbunge huyo alitaka mpango huo ubakie siri kati yake na CCM hasahasa sababu za kiusalama zikitajwa,.
Wengi hatutamfahamu huyu mbunge mpaka 2020,lkn pia CCM ilitoa muda wa kutosha.
We jamaa lipizi sana tumbo kubwa akili hakunaKuna taarifa ya kuwa CCM imemkatalia mbunge wa jimbo moja la Dar es Salaam kujiunga na chama hicho baada ya muda kupita.Barua ya kutaka kujiunga ilimfikia Polepole jana lkn majibu alitakiwa kusubiri uchaguzi ujao ambapo mbunge huyo alitaka mpango huo ubakie siri kati yake na CCM hasahasa sababu za kiusalama zikitajwa,.
Wengi hatutamfahamu huyu mbunge mpaka 2020,lkn pia CCM ilitoa muda wa kutosha.
Kuna taarifa ya kuwa CCM imemkatalia mbunge wa jimbo moja la Dar es Salaam kujiunga na chama hicho baada ya muda kupita.Barua ya kutaka kujiunga ilimfikia Polepole jana lkn majibu alitakiwa kusubiri uchaguzi ujao ambapo mbunge huyo alitaka mpango huo ubakie siri kati yake na CCM hasahasa sababu za kiusalama zikitajwa,.
Wengi hatutamfahamu huyu mbunge mpaka 2020,lkn pia CCM ilitoa muda wa kutosha.
Mkuu hao watu ni bora kufuga mbuzi ni faida na hii Christmas mwaweza kujipatia supu saaafi kuliko hao.Njia ya mwongo fupi, boya linajichanganya lenyewe.
Si ni John Mnyika walahiAnayetaka kuhama Ni mtu ambaye huwezi kuamini,weka akiba ya maneno
Wa korosho mliishia wapi mkuu?Msitutoe kwenye mjadala wa Mafao ya Wastaafu hatutaki siasa za kizamani
yeye ni Mungu hata tusiamini?Anayetaka kuhama Ni mtu ambaye huwezi kuamini,weka akiba ya maneno