Tetesi: Mbunge Chadema akataliwa kujiunga CCM, atakiwa kungojea 2020

Hili Jukwaa haliwafai vilaza kama wewe. Rudi kule kwa wambea wenzako mkaendeleze umbea wenu.
 

Ongea na mumeo chumbani syo huku
 
UNASEMA MBUNGE ALITAKA KUJIUNGA NA CCM HAPOHAPO UNASEMA ALITAKA IWE SIRI. INA MAANA ANGEJIUNGA NA CCM KWA SIRI NA KUENDELEA KUWA MBUNGE WA CHADEMA?
Hakuna aliyetegemea kama Polepole angekuja kuwa mpishi wa siasa za maji ya mtaroni namna hii.
 
Mtu mmoja akasema nchi ina wapumbavu wengi kuliko werevu naamini
 
wamkubalie tu ila akawe benchi
 
umeandika mzoga kabisa1
 
Njaa zitakuja kuwaua
 
Barua zenyewe ni Forgery Anaandikaga Chakubanga na Vibaraka wenzake mbunge kazi yake ni kutia saini tu baada ya kufikia dau.....Malofa nyie!!!
 
Mbowe aachie kiti tu kwakwel, ni failurer wa hali ya juu. Wacha wamkimbie wote, itisheni uchaguzi haraka mukinusuru chama cha wachaga.
Watu wanapokonywa stahiki zao wewe unaona ya mbowe tu? Kweli Tanzania tumeshikiliwa na jinamizi ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…