Tetesi: Mbunge Chadema akataliwa kujiunga CCM, atakiwa kungojea 2020

 
fiesta ama mbunge[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hili jambo la kuchukua wabunge wa upinzani limenifanya nimshangae sana mhe magufuli. Huyu sio mhe niliyekuwa namfahamu enzi zile za uwaziri wake.
Mkuu, usishangae! Kwenye chama chake wapo hao akina MSUKUMA, LUSINDE nk. Sasa unategemea hiyo TANZANIA YA MAGUFULI ataijengaje?
 
Huu ni uongo wa waziwazi.ccm wameona mbunge amekataa kujiunga baada ya ccm kuishiwa pesa za kununua wabunge.hata hivyo mbunge alikataa kujiunga ccm kwa kuwa anamisimamo ya kweli.
 
Wewe itakuwa unatiwa kidole, yan unatiwa kidole cha macho ndio maana ubaizalilisha dini, huoni at I shauri ya kidole
Hee! yamekuwa hayo tena?
😳😳😳
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…