johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwani Musiba ni mbunge au kiongozi?!Musiba mbona hakamatwi ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Musiba ni mbunge au kiongozi?!Musiba mbona hakamatwi ?
June 26, 2019
Nairobi, Kenya
kwahiyo ana nguvu kuliko wabunge na viongozi ?Kwani Musiba ni mbunge au kiongozi?!
Huyo mbunge ni Mkikuyu ubaguzi kwao ni kawaidaJaquer kaaibisha sana viongozi vijana.Huwezi tamka pumba zile za kibaguzi, bora hata kaburu.
Nguvu ya kufanya nini?!kwahiyo ana nguvu kuliko wabunge na viongozi ?
Akili yako ziro bila; unamlinganisha huyu na Sugu? Au nyie watoto wa Lumumba akili yenu nyote imebuma?Huyu ni kama Sugu wa pale Dodoma....... Mzuka mwingi!
angekuwa mwanaccm angeitwa mzalendoHuyo mbunge ni Mkikuyu ubaguzi kwao ni kawaida
Kwani wana tofauti gani?Akili yako ziro bila; unamlinganisha huyu na Sugu? Au nyie watoto wa Lumumba akili yenu nyote imebuma?
boda hii ya kuja Bongo au alikuwa anamaanisha boda za mbele mkuu???[emoji39]
Alikuja kutafuta mume.Hafu huyu boya si alkuja kutafta mke bongo
Au sio huyu
Huyo si kigeugeu bali anageuzwa sana.Aliimba wimbo wa "Kigeugeu".
Ndani yake kuna mistari inasema wanasiasa ni vigeugeu.
Ninaona na yeye kaamua kuwa kigeugeu.
Aliwaahidi wananchi maisha bora sasa amegeuka na kutaka kuwafukuza wageni.
Actually, Jaguar kawa kigeugeu!
Sugu unamuonea, live jana bungeni kibajaji ndiyo karopoka kuwa na sisi tuwabonde wakenya tena kasema ataanza yeye kwenye jimbo lake wapo wakenya kibao.Huyu ni kama Sugu wa pale Dodoma....... Mzuka mwingi!