Mbunge Charles Njagua(Jaguar) amekamatwa akiwa eneo la Bunge kwa madai ya vitisho dhidi ya wafanyabiashara wa kigeni

Mbunge Charles Njagua(Jaguar) amekamatwa akiwa eneo la Bunge kwa madai ya vitisho dhidi ya wafanyabiashara wa kigeni

kenya kuna ukabila wa wenyewe kwa wenyewe sembuse sisi ambao tupo nchi nyingine,wala tusishangae hata wanaojifanya kumpinga walio nchini kwake ni wanafiki wamefurahia maana ame wasilisha yaliyo moyoni mwao.
 
June 26,2019
Nairobi, Kenya

Charles Kanyi remarks moments before his arrest

 
Kuna mambulula Jana walikuwa wanasema huyo mtu aachwe tu kwa sababu ni kauli yake tu na si ya Serikali hata wakamlaumu ndugai kwa kuitaka Serikali ya Kenya itolee ufafanuzi
 
Hapo chini ni kauli yake ya kichochezi.
Screenshot_20190626-143601.jpg


"Wakenya ni sharti wafanye biashara zao bila kushindana na watu kutoka mataifa mengine. Raia wa Pakistan wametawala biashara za kuuza magari nchini humu, Watanzania na Waganda wanatawala katika masoko yetu. Tunasema imetosha iwapo hawatarajeshwa nyumbani katika saa 24 tutawashika na kuwapiga na hatuogopi mtu yeyote''
 
Aliimba wimbo wa "Kigeugeu".

Ndani yake kuna mistari inasema wanasiasa ni vigeugeu.

Ninaona na yeye kaamua kuwa kigeugeu.

Aliwaahidi wananchi maisha bora sasa amegeuka na kutaka kuwafukuza wageni.

Actually, Jaguar kawa kigeugeu!
Huyo si kigeugeu bali anageuzwa sana.
 
Back
Top Bottom