Mbunge Chato: Tunaomba ndege chache zilizopo ziwe zinatua Chato hata kama ni mara moja kwa wiki

Dom ni Capital City no way lazima uwe na uwanja wa Kimataifa.

Hata Mikoa a jirani watatumia hasa Kwa cargo kikubwa ni kukuza shughuli za kiuchumi za watu na Mikoa ya jirani.

Pia wajenge Kumbi za Mikutano kubwa.
Bado afanisi wake utakuwa mdogo sana! JNIA inazidiwa abiria na Uwanja wa kimataifa wa Zanzibar!
Bado Dodoma itakuwa na Uwanja sio kibiashara ni kwa ajili ya political events tu!
 
Tuliopiñga ujenzi wa uwanja huo tulionekana wajinga.
 
Dom ni Capital City no way lazima uwe na uwanja wa Kimataifa.

Hata Mikoa a jirani watatumia hasa Kwa cargo kikubwa ni kukuza shughuli za kiuchumi za watu na Mikoa ya jirani.

Pia wajenge Kumbi za Mikutano kubwa.
Kwanza nini maana ya International Airport?

Mikoa ipi ya jirani? Tanga? Manyara? Singida? Morogoro?

Yaani Cargo za Morogoro ziende kupitia Dodoma? Acha masikhara basi.

Dodoma kungeweza kutengenezwa kiwanja cha kawaida tu kizuri chenye jengo kubwa la kisasa kingetosha

Nimekupa mfano kuhusu Dar ambapo kuna shughuli nyingi za kibiashara na hadi kuwa mji wa kihistoria ila International flights hazipo nyingi sasa unategemea ziende Dodoma kufanya nini? Kuwapakia Watumishi wa Serikali?🤣🤣🤣

Hii nchi ni vile tu ina vilaza wengi ila kiuhalisia kuna mambo ya kipuuzi sana yanafanywa na hawa viongozi wa CCM na ingekuwa kwenye jamii ya watu wanaojielews yasingefanyika.
 
Dom ni Capital City no way lazima uwe na uwanja wa Kimataifa.

Hata Mikoa a jirani watatumia hasa Kwa cargo kikubwa ni kukuza shughuli za kiuchumi za watu na Mikoa ya jirani.

Pia wajenge Kumbi za Mikutano kubwa.
Nani kakwambia Capital City lazima iwe na uwanja wa kimataifa?

Hizo akili ndo mmezitoa kwenye shule za kata au?
 
Bado afanisi wake utakuwa mdogo sana! JNIA inazidiwa abiria na Uwanja wa kimataifa wa Zanzibar!
Bado Dodoma itakuwa na Uwanja sio kibiashara ni kwa ajili ya political events tu!
Kuna mahali akili za watanzania wenzetu zilidumazwa. Nakwambia tena!
 
Naunga mkono hoja,uwanja wa Chato utumike,swala la abiria wachache ni kisingizio kisicho na maana.Abiria wakishajua kuna usafiri wa ndege pale wataongezeka,na hatimaye kitakuwa ni moja ya viwanja vya ndege vyenye abiria wengi tu...
 
Niliwahi kusema kitu kuhusu huu uwanja Naunga mkono Uwanja wa Ndege wa Chato. Una justification, utakuwa kama Ggabolite au Yamoussoukro. Watalii watamiminika!
P
 
hapo ndipo utagundua jiwe alikuwa na cheti cha afya ya akili.
 
c tulikubaliana kanda ya ziwa wakulima wa pamba na mpunga wawe wanaanikia mazao yao
 
kalemani amekuwa ombaomba cku hizi aisee kweli maisha yanabadilika asikwambie mtu
 
Mikoa ya Singida,Iringa ,Manyara nk.

Kinachotakiwa ni kuupa miundombinu inayohitajika kuhudumia biashara.

Sio lazima ilingane na Dar lakini taratiibu mda unavyoenda mambo yatakuwa Mazuri eg uwanja wa Ndege wa Dom unaweza kutumika kuleta Watalii wa hifadhi za Ruaha,Udzungwa,Manyara,Tarangile nk so utapata tuu international flights.

Kikubwa kulíko vyote ni kuimarisha biashara na uzalishaji
 
Gbadolite
 
W
Wanajitahidi kuvunja Legacy ya Mwamba !
Nayo Regasi imegoma kuvunjika Ng’o !
 
Bado afanisi wake utakuwa mdogo sana! JNIA inazidiwa abiria na Uwanja wa kimataifa wa Zanzibar!
Bado Dodoma itakuwa na Uwanja sio kibiashara ni kwa ajili ya political events tu!
Sawa hakuna mtu anatarajia ufanisi uwe mkubwa kama Abeid Karume,JNIA au hata Kilimanjaro

Lakini uwanja wa Dom utatumika Kwa flights za Utalii wa Tarangire,Manyara,Ruaha,Udzungwa na hata Kitulo au Nyerere.

Pia utatumika kama hub ya kusafiriaha mizigo ya Mikoa ya Dom,Singida,Iringa na Manyara nk

Lakini pia Kwa kuwa ni City in the making kutakuwa na Ofisi za KiDiplomasia,Kumbi za Mikutano nk

So by 2035 hivi huenda uwanjawa Msalato ukaanza kuchanganya.
 
Gbadolite
Geita tumetoa na tunaendelea kutoa Dhahabu mingi sana !
Japo tulikubali wenye migodi bazungu wafaidike zaidi ya Nchi lakini pia bado tunastahili kuheshimiwa !

Mwamba alitaka mkoa wa Geita uonekane kidhahabu Dhahabu lakini ndio hivyo tena !
Things fallen apart. !
 
Watu walikuwa mbele ya muda kupitia uzi huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…