Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Alikuwa rafiki yake ila Mugabe anahusika kwa namna moja ama nyingine.Mkuu hiyo Hamilton Palace siyo mali ya Hayati Robert Mugabe.
Urafiki kati ya Mugabe na Nicholas van Hoogstraten mmiliki halali wa hiyo mali hakukupi uhalali wa kusema ni mali ya Mugabe.
Kwa jinsi Mugabe alivyo kuwa amewekewa vikwazo na UK enzi za uhai wake ingetaifishwa tu.
Umeona mali za oligarchy wengi wa Russia zinavyo taifishwa zikihusianishwa na Putin ingawa ziko kwenye majina ya watu wengine?Alikuwa rafiki yake ila Mugabe anahusika kwa namna moja ama nyingine.
Ukitaja hilo jengo na RM yumo
Labda utakatishaji
Na jamaa alibadili jina
Huo uwanja waubadilishe tu matumizi haukutakiwa kuwa Chato...Chato aliyekuwa anayepanda ndege ni Magu tuMBUNGE wa Jimbo la Chato mkoani Geita, Dk Medard Kalemani ameomba mamlaka zinazohusika kutoa ufafanuzi wa kile kilichopelekea ndege za abiria kuacha kutua uwanja wa ndege wa Chato.
Dk Kalemani ametoa malalamiko yake mbele ya wajumbe wa kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Geita na kueleza hali hiyo imepelekea abiria wenye uhitaji wa usafiri wa haraka kupata usumbufu kwa kukosa huduma.
Amesema uhitaji wa ndege za abiria ni mkubwa kwani tangu uwanja wa ndege Chato uanze kutumika kuna mwitikio mkubwa wa abiria kutokana na miundombinu rafiki ya uwanja na uwepo wa abiria wanaoingia na kutoka Chato.
"Nilikuwa naomba kupitia kikao hiki, hebu tushawishi mgawanyo wa ndege chache zilizopo ziwe zinatua Chato hata kama ni mara moja kwa wiki, kwa sababu tuna kiwanja kizuri, kikubwa, kimejemgwa kwa fedha nyingi.
Pia soma
- Mashirika ya ndege yaukimbia uwanja wa ndege Chato. Hakuna ndege yoyote inayotua tena uwanjani hapo!
Haswa,Umeona mali za oligarchy wengi wa Russia zinavyo taifishwa zikihusianishwa na Putin ingawa ziko kwenye majina ya watu wengine?
Sikatai 100% usemalo lipo.
Tatizo ni kupata abiria wa kutosha ; uendeshaji wa ndege ni ghalivita na marehemu bado inaendelea
mafisadi hawataki ndege ziende huko
Thubuutuu hairudi Tena hioooooMBUNGE wa Jimbo la Chato mkoani Geita, Dk Medard Kalemani ameomba mamlaka zinazohusika kutoa ufafanuzi wa kile kilichopelekea ndege za abiria kuacha kutua uwanja wa ndege wa Chato.
Dk Kalemani ametoa malalamiko yake mbele ya wajumbe wa kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Geita na kueleza hali hiyo imepelekea abiria wenye uhitaji wa usafiri wa haraka kupata usumbufu kwa kukosa huduma.
Amesema uhitaji wa ndege za abiria ni mkubwa kwani tangu uwanja wa ndege Chato uanze kutumika kuna mwitikio mkubwa wa abiria kutokana na miundombinu rafiki ya uwanja na uwepo wa abiria wanaoingia na kutoka Chato.
"Nilikuwa naomba kupitia kikao hiki, hebu tushawishi mgawanyo wa ndege chache zilizopo ziwe zinatua Chato hata kama ni mara moja kwa wiki, kwa sababu tuna kiwanja kizuri, kikubwa, kimejemgwa kwa fedha nyingi.
Pia soma
- Mashirika ya ndege yaukimbia uwanja wa ndege Chato. Hakuna ndege yoyote inayotua tena uwanjani hapo!
Huu ndo ushamba na wivu wa kwa nini wao..?Daraja halina maana yeyote hata lisingejengwa.
Halina maana, ukisema Kwa nini wao kwani huko ni Kwa kina nani?Huu ndo ushamba na wivu wa kwa nini wao..?
Lisiwe na maana halafu lile la salenda ndo lenye maana? Na lile barabara la msoga?Halina maana, ukisema Kwa nini wao kwani huko ni Kwa kina nani?
We mssenge una chuki sana na kanda ya ziwa matako wewe, halafu huwaa unajikuta mzalemdo na mpenda maendeleo kwa akili hizi za kibaguzi serious?Daraja halina maana yeyote hata lisingejengwa.
Huyo jamaa ni mmoja ya wapumbavv ambao wamejawa na chuki kali sana kwa marehemu Magufuli kiasi kwamba anachukia mpaka kanda anayotoka Magufuli.Lisiwe na maana halafu lile la salenda ndo lenye maana? Na lile barabara la msoga?
Kwani nini maana ya maendeleo?
Mkuu, waliokuwa wakimchukia Magufuli, kwangu mimi niliwaonaga ni watu wendawazimu tuHuyo jamaa ni mmoja ya wapumbavv ambao wamejawa na chuki kali sana kwa marehemu Magufuli kiasi kwamba anachukia mpaka kanda anayotoka Magufuli.
yaani hapendi hata kuona miradi ya maendeleo ikiendelezwa huko, sababu ya yeye kumchukia magufuli. halafu anajionaga mzalendo na mpenda maendeleo, kila leo anamuimba samia humu kwamba eti anapeleka maendeleo sehemu zote bila ubaguzi, wakati huo huo huyu mwenyewe ni mbaguzi... huyu jamaa ni mpumbavv na vyeti vyake feki.
Povu 🤣 🤣We mssenge una chuki sana na kanda ya ziwa matako wewe, halafu huwaa unajikuta mzalemdo na mpenda maendeleo kwa akili hizi za kibaguzi serious?
Eti daraja lisijengwe, hivi unafahamu kwa kiasi gani hilo daraja litarahisisha suala la logistics na kuboast shughuli za kibiashara kwa mikoa ya kanda ya ziwa(Geita,Kagera,Mwanza) pamooja nchi jirani kama Rwanda na Burundi?
Kwako wewe, unaona daraja la kigamboni lina umuhimu ambako kuna wilaya moja tu, lakini daraja la busisi ambalo linaunganisha mkoa hadi mkoa halina umuhimu? Halafu unajinasibu eti mpenda maendeleo huku ukimsifia samia sijui ni raisi wa watu wote?
Wewe huna akili kabisa
Majizi na mafisadi huwa yanamchukia mtu yeyote yule anaopambana na ufisadi/wizi hata kama mtu huyo yuko mbali na wao, na hii ni kwa sababu nafsi zao zimebeba hatia tu muda wote.Mkuu, waliokuwa wakimchukia Magufuli, kwangu mimi niliwaonaga ni watu wendawazimu tu
Ngoja tuone kama watamchukia na trump, maana anachofanya Trump ndo kile kile Magufuli alikuwa akifanya
Ila wapumbavu na wenye akili ndogo walikuwa wakipiga kelele kisa kubanwa kende zao kwa ufisadi
Kwahiyo upeleke ndege kutoka dar sababu ya watu 20?Uwanja wa Ndege chato ulikuwa unawasyani wa watu wanaoshuka 20 hadi 25 na waanopanda hivyohivyo,,kwa hiyo kusema uwanja hauna maana ni uwongo