Mbunge Chato: Tunaomba ndege chache zilizopo ziwe zinatua Chato hata kama ni mara moja kwa wiki

Mbunge Chato: Tunaomba ndege chache zilizopo ziwe zinatua Chato hata kama ni mara moja kwa wiki

Huu uwanja na ule wa kia inatakiwa ujengwe na upewe priority uwanja wa SERENGETI INTERNATIONAL AIRPORT aka SIA.
Mana uko karibu na mbuga ya Serengeti ni rahisi watalii direct from USA to land there so that won't travel miles to reach their tourism destination
 
Mkuu hiyo Hamilton Palace siyo mali ya Hayati Robert Mugabe.
Urafiki kati ya Mugabe na Nicholas van Hoogstraten mmiliki halali wa hiyo mali hakukupi uhalali wa kusema ni mali ya Mugabe.
Kwa jinsi Mugabe alivyo kuwa amewekewa vikwazo na UK enzi za uhai wake ingetaifishwa tu.
Alikuwa rafiki yake ila Mugabe anahusika kwa namna moja ama nyingine.
Ukitaja hilo jengo na RM yumo
Labda utakatishaji
Na jamaa alibadili jina
 
Alikuwa rafiki yake ila Mugabe anahusika kwa namna moja ama nyingine.
Ukitaja hilo jengo na RM yumo
Labda utakatishaji
Na jamaa alibadili jina
Umeona mali za oligarchy wengi wa Russia zinavyo taifishwa zikihusianishwa na Putin ingawa ziko kwenye majina ya watu wengine?
Sikatai 100% usemalo lipo.
 
MBUNGE wa Jimbo la Chato mkoani Geita, Dk Medard Kalemani ameomba mamlaka zinazohusika kutoa ufafanuzi wa kile kilichopelekea ndege za abiria kuacha kutua uwanja wa ndege wa Chato.

Dk Kalemani ametoa malalamiko yake mbele ya wajumbe wa kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Geita na kueleza hali hiyo imepelekea abiria wenye uhitaji wa usafiri wa haraka kupata usumbufu kwa kukosa huduma.

Amesema uhitaji wa ndege za abiria ni mkubwa kwani tangu uwanja wa ndege Chato uanze kutumika kuna mwitikio mkubwa wa abiria kutokana na miundombinu rafiki ya uwanja na uwepo wa abiria wanaoingia na kutoka Chato.

"Nilikuwa naomba kupitia kikao hiki, hebu tushawishi mgawanyo wa ndege chache zilizopo ziwe zinatua Chato hata kama ni mara moja kwa wiki, kwa sababu tuna kiwanja kizuri, kikubwa, kimejemgwa kwa fedha nyingi.

Pia soma
- Mashirika ya ndege yaukimbia uwanja wa ndege Chato. Hakuna ndege yoyote inayotua tena uwanjani hapo!
Huo uwanja waubadilishe tu matumizi haukutakiwa kuwa Chato...Chato aliyekuwa anayepanda ndege ni Magu tu
 
Umeona mali za oligarchy wengi wa Russia zinavyo taifishwa zikihusianishwa na Putin ingawa ziko kwenye majina ya watu wengine?
Sikatai 100% usemalo lipo.
Haswa,
Na hapa UK vita na Russia sio kwa silaha bali uchumi
Wamewekeza sana hapa ila wengi hela zao zimezuiliwa na wamesema ni pesa chafu
 
vita na marehemu bado inaendelea
mafisadi hawataki ndege ziende huko
Tatizo ni kupata abiria wa kutosha ; uendeshaji wa ndege ni ghali
Fikiria unapeleka ndege ya Abiria 82, unapata abiria 20; halafu ndege ikipata hasara unalaumiwa!
Labda wangeanza kuiomba ATC inunue vindege vidogo vidogo pengine vya abiria 38 (kama ATR 42/72) etc
 
MBUNGE wa Jimbo la Chato mkoani Geita, Dk Medard Kalemani ameomba mamlaka zinazohusika kutoa ufafanuzi wa kile kilichopelekea ndege za abiria kuacha kutua uwanja wa ndege wa Chato.

Dk Kalemani ametoa malalamiko yake mbele ya wajumbe wa kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Geita na kueleza hali hiyo imepelekea abiria wenye uhitaji wa usafiri wa haraka kupata usumbufu kwa kukosa huduma.

Amesema uhitaji wa ndege za abiria ni mkubwa kwani tangu uwanja wa ndege Chato uanze kutumika kuna mwitikio mkubwa wa abiria kutokana na miundombinu rafiki ya uwanja na uwepo wa abiria wanaoingia na kutoka Chato.

"Nilikuwa naomba kupitia kikao hiki, hebu tushawishi mgawanyo wa ndege chache zilizopo ziwe zinatua Chato hata kama ni mara moja kwa wiki, kwa sababu tuna kiwanja kizuri, kikubwa, kimejemgwa kwa fedha nyingi.

Pia soma
- Mashirika ya ndege yaukimbia uwanja wa ndege Chato. Hakuna ndege yoyote inayotua tena uwanjani hapo!
Thubuutuu hairudi Tena hiooooo
 
MBUNGE wa Jimbo la Chato mkoani Geita, Mhe. Dkt. Medard Kalemani ameomba mamlaka zinazohusika kutoa ufafanuzi wa kile kilichopelekea ndege za abiria kuacha kutua uwanja wa ndege wa Chato.

Dkt. Kalemani ametoa malalamiko yake mbele ya wajumbe wa kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Geita na kueleza hali hiyo imepelekea abiria wenye uhitaji wa usafiri wa haraka kupata usumbufu kwa kukosa huduma.

Dkt. Kalemani Amesema uhitaji wa ndege za abiria ni mkubwa kwani tangu uwanja wa ndege Chato uanze kutumika kuna mwitikio mkubwa wa abiria kutokana na miundombinu rafiki ya uwanja na uwepo wa abiria wanaoingia na kutoka Chato.

"Nilikuwa naomba kupitia kikao hiki, hebu tushawishi mgawanyo wa ndege chache zilizopo ziwe zinatua Chato hata kama ni mara moja kwa wiki, kwa sababu tuna kiwanja kizuri, kikubwa, kimejemgwa kwa fedha nyingi" Dkt. Kalemani

Screenshot 2025-03-06 at 13-21-47 Instagram.png
 
Stendi kuu ya mabasi Chato imekosa mabasi itakuwa uwanja wa ndege wa Chato ?

Sababu kuu ya uchumi wa Chato kuanguka ni kwamba mzunguko wa fedha ulikuwa unapelekwa na kuchochewa na mtu mmoja mzaliwa wa Chato na siyo msukumo wa soko huru kupeleka mzunguko wa fedha (demand and supply)

Mzaliwa huyo ameondoka, na hivyo msukumo wake umekatika. Na kiuchumi kunapokuwepo mahitaji bandia na walaji bandia ( artificially induced demand and supply) ndiyo madhara yake, hususan nchi ikiwa kubwa kama Tanganyika.

Kijiji cha Kizimkazi kinaweza kunusurika kutokana na Zanzibar kuwa ndogo huku umbali toka wilaya moja hadi nyingine ni mdogo. Vijiji vya Butiama kwa Nyerere, Kisarawe kwa Mwinyi, Lupaso kwa Mkapa, Bagamoyo kwa Jakaya Kikwete pekee kunaweza kunusurika huku Tanganyika.

Dr. Merdard Kelamani akubali kuwa Chato haitoweza kuibuka kutokana na msukumo wa mtu mmoja, tumeona kijiji cha Mobutu kule DR Congo, Liberia vijijini kwa marais wastaafu n.k

Dr. Medard Kalemani akubali ukweli huo na kuachana na ndoto zisizowezekana Chato kurudia kuwa na mzunguko wa fedha na wageni wengi kama kipindi cha uhai wa mwendazake hayati Dr. John Pombe Joseph Magufuli aliyewahi kuwa rais wa awamu ya Tano nchini Tanzania
 
Dr. Medard Kalemani mbunge wa Chato kupitia tiketi ya CCM awe anakubali kuwa historia ni mwalimu mzuri. Vijiji vya marais wa Afrika hufa kiuchumi pale akimaliza muhula wa kubaki madarakani. Na hakuna mbinu nyingine ya kurejesha jana ya uchumi na mzunguko wa fedha bandia kijijini Chato.

Ile nguvu ya mkono usioonekana wa kiuchumi wa gwiji Adam Smith (invisible hand), yaani soko huru linalofuata walaji (supply and Demand ) haliwezi kushindwa, maana yake Soko limekwenda kwingine kufukuzia mzunguko wa fedha pennine mbali na Chato.

Toka maktaba :

14 June 2023

NDANI YA KASRI LA MBABE WA KIVITA NA ALIYEKUWA RAISI WA LIBERIA CHARLES G TAYLOR HOUSE

View: https://m.youtube.com/watch?v=8inadNWPsUY
katika video ya leo nimetembelea jumba kubwa mfano wa hekalu / kasri lililojengwa na Rais wa Zamani wa Liberia mbabe wa kivita Charles G. Taylor House katika mji aliozaliwa wa Arthington Liberia. Charles G. Taylor alikuwa Rais wa 22 wa Jamhuri ya Liberia.
 
Daraja halina maana yeyote hata lisingejengwa.
We mssenge una chuki sana na kanda ya ziwa matako wewe, halafu huwaa unajikuta mzalemdo na mpenda maendeleo kwa akili hizi za kibaguzi serious?

Eti daraja lisijengwe, hivi unafahamu kwa kiasi gani hilo daraja litarahisisha suala la logistics na kuboast shughuli za kibiashara kwa mikoa ya kanda ya ziwa(Geita,Kagera,Mwanza) pamooja nchi jirani kama Rwanda na Burundi?

Kwako wewe, unaona daraja la kigamboni lina umuhimu ambako kuna wilaya moja tu, lakini daraja la busisi ambalo linaunganisha mkoa hadi mkoa halina umuhimu? Halafu unajinasibu eti mpenda maendeleo huku ukimsifia samia sijui ni raisi wa watu wote?

Wewe huna akili kabisa
 
Lisiwe na maana halafu lile la salenda ndo lenye maana? Na lile barabara la msoga?

Kwani nini maana ya maendeleo?
Huyo jamaa ni mmoja ya wapumbavv ambao wamejawa na chuki kali sana kwa marehemu Magufuli kiasi kwamba anachukia mpaka kanda anayotoka Magufuli.

yaani hapendi hata kuona miradi ya maendeleo ikiendelezwa huko, sababu ya yeye kumchukia magufuli. halafu anajionaga mzalendo na mpenda maendeleo, kila leo anamuimba samia humu kwamba eti anapeleka maendeleo sehemu zote bila ubaguzi, wakati huo huo huyu mwenyewe ni mbaguzi... huyu jamaa ni mpumbavv na vyeti vyake feki.
 
Mkuu, waliokuwa wakimchukia Magufuli, kwangu mimi niliwaonaga ni watu wendawazimu tu

Ngoja tuone kama watamchukia na trump, maana anachofanya Trump ndo kile kile Magufuli alikuwa akifanya

Ila wapumbavu na wenye akili ndogo walikuwa wakipiga kelele kisa kubanwa kende zao kwa ufisadi
 
We mssenge una chuki sana na kanda ya ziwa matako wewe, halafu huwaa unajikuta mzalemdo na mpenda maendeleo kwa akili hizi za kibaguzi serious?

Eti daraja lisijengwe, hivi unafahamu kwa kiasi gani hilo daraja litarahisisha suala la logistics na kuboast shughuli za kibiashara kwa mikoa ya kanda ya ziwa(Geita,Kagera,Mwanza) pamooja nchi jirani kama Rwanda na Burundi?

Kwako wewe, unaona daraja la kigamboni lina umuhimu ambako kuna wilaya moja tu, lakini daraja la busisi ambalo linaunganisha mkoa hadi mkoa halina umuhimu? Halafu unajinasibu eti mpenda maendeleo huku ukimsifia samia sijui ni raisi wa watu wote?

Wewe huna akili kabisa
Povu 🤣 🤣
 
Mkuu, waliokuwa wakimchukia Magufuli, kwangu mimi niliwaonaga ni watu wendawazimu tu

Ngoja tuone kama watamchukia na trump, maana anachofanya Trump ndo kile kile Magufuli alikuwa akifanya

Ila wapumbavu na wenye akili ndogo walikuwa wakipiga kelele kisa kubanwa kende zao kwa ufisadi
Majizi na mafisadi huwa yanamchukia mtu yeyote yule anaopambana na ufisadi/wizi hata kama mtu huyo yuko mbali na wao, na hii ni kwa sababu nafsi zao zimebeba hatia tu muda wote.

Jaribu kufuatilia hata humu wale members wanaomchukia na kumkosoa Trump na DOGE utagundua wengi ni maccm ambao ni machawa ya awamu ya Sita na obvious tunawajua ni watu wa aina gani(majizi/mafisadi na watumbuliwaji).
 
Uwanja wa Ndege chato ulikuwa unawasyani wa watu wanaoshuka 20 hadi 25 na waanopanda hivyohivyo,,kwa hiyo kusema uwanja hauna maana ni uwongo
Kwahiyo upeleke ndege kutoka dar sababu ya watu 20?

Hiyo ni average ya milioni 6 sasa unajua Q400 ina burn mafuta kilo ngapi Dar to Chato?

Hii nchi bila kuanza kuwahibishana kwa maamuzi tuyafanyayo tutachezewa sana
 
Back
Top Bottom