Alisahau kuwa kuna mwenye absolute power ya Ulimwengu huu nae anapenda haki.Alikuwa jeshi la mtu mmoja 'bwana yule'!
Nyerere yeye alizifuta kabisa halmashauri za nchi nzima na kuzirudisha tena mwaka 1982...humu mmejaa watoto kumbe msojua historia na nguvu ya kimahusiano baina ya serikali kuu na serikali za mitaaJiji lilivunjwa kwa mihemko ya mwendazake.
Huyu atakuwa atakuwa na matatizo ya akili au hajui nguvu na mamlaka ya RaisKatika kipindi cha maswali na majibu leo bungeni Mh Chaurembo amehoji kwanini tamisemi isipitie upya uamuzi wa jiji la Dar es Salaam kuvunjwa bila vikao vya madiwani.
Pia amehoji mgawo wa mali za jiji na fedha za mikopo kuwa hazikupata baraka kwenye vikao halali.
Majibu ya naibu waziri Tamisemi.
Jambo hili ni gumu tutalipitia
ilikoendea angeifanya Chato iwe makao makuu ya NchiPoint ya msingi sana, mwendazake alijifanya Mungu mtu
Nila katiba ya wananchi siku zote haya mambo yatajirudia tuKatika kipindi cha maswali na majibu leo bungeni Mh Chaurembo amehoji kwanini tamisemi isipitie upya uamuzi wa jiji la Dar es Salaam kuvunjwa bila vikao vya madiwani.
Pia amehoji mgawo wa mali za jiji na fedha za mikopo kuwa hazikupata baraka kwenye vikao halali.
Majibu ya naibu waziri Tamisemi.
Jambo hili ni gumu tutalipitia
Wazalendo wa Kolomije mjitokeze teteeni legasi yenu.1 imejikita humu ......inasapotiana tu hahaa
Ukiwa na busara huwezi kumsupport uyo mbunge .Point ya msingi sana, mwendazake alijifanya Mungu mtu
Badala ya kuuliza unatakiwa ueleze. By the way, kosa moja halihalalishi kosa lingineLilipovunjwa na Mkapa na kuanzishwa Tume ya Jiji madiwani walishirikishwa?
nani kakuibia humu???? au unakalili utopolo??Mijizi imejikita humu ......inasapotiana tu hahaa