Mbunge Chaurembo ataka kupitiwa upya uamuzi wa Jiji la Dar kuvunjwa bila vikao vya madiwani

Mbunge Chaurembo ataka kupitiwa upya uamuzi wa Jiji la Dar kuvunjwa bila vikao vya madiwani

Katika kipindi cha maswali na majibu leo bungeni Mh Chaurembo amehoji kwanini tamisemi isipitie upya uamuzi wa jiji la Dar es Salaam kuvunjwa bila vikao vya madiwani.

Pia amehoji mgawo wa mali za jiji na fedha za mikopo kuwa hazikupata baraka kwenye vikao halali.

Majibu ya naibu waziri Tamisemi.

Jambo hili ni gumu tutalipitia
Binafsi naomba lisirejee maana wao walishirik kulichezea, kheri lisiwepo
 
Jiji lilivunjwa kwa mihemko ya mwendazake.
Watu wengi walipata ulaji bila kazi maalum huyo kiongozi alikuwa sahihi maana hao walikuwa wanatumia kodi za wanainch bila machungu


Magufuli alikuwa na maono ndiyo maana kipindi chake tuliheshimiana sana siku hizi

Hatujui hasa serikali iko kipi vipi maana hatuoni lengo la pamoja la serikali
 
Back
Top Bottom