Mbunge Chaurembo ataka kupitiwa upya uamuzi wa Jiji la Dar kuvunjwa bila vikao vya madiwani

Mbunge Chaurembo ataka kupitiwa upya uamuzi wa Jiji la Dar kuvunjwa bila vikao vya madiwani

Mbona hakusema kipindi Magufuli yupo hai? Diwani atambue kuwa magufuli ndo alikuwa katiba na alichokuwa anatamka basi ndo sheria na kinatakiwa kifuatwe

Zidumu fikra za mwenyekiti
 
"]Nyerere yeye alizifuta kabisa halmashauri za nchi nzima na kuzirudisha tena mwaka 1982..."
Du kumbe ,,! Wakat huo mama yangu akiwa std 1
 
Lilipovunjwa na Mkapa na kuanzishwa Tume ya Jiji madiwani walishirikishwa? Kama hana uelewa wa nguvu na mahusiano ya kisheria baina ya serikali kuu na serikali za mitaa anatakiwa akajifunze hilo kwa kina
Uelewe hoja. Usirukie bila kuelewa wala kutafakari.

Mkapa aliunda tume kusimamia majukumu ya jiji, hakuvunja wala kubadilisha muundo wake.
 
Katika kipindi cha maswali na majibu leo bungeni Mh Chaurembo amehoji kwanini tamisemi isipitie upya uamuzi wa jiji la Dar es Salaam kuvunjwa bila vikao vya madiwani.

Pia amehoji mgawo wa mali za jiji na fedha za mikopo kuwa hazikupata baraka kwenye vikao halali.

Majibu ya naibu waziri Tamisemi.

Jambo hili ni gumu tutalipitia
Ndio wanagutuka sasa
 
Madiwani kazi kulakula hawana faida. Chaurembo anajaribu kubomoa uamuzi wa kuokoa ulaji wa madiwani. Wanyonyaji wakubwa. Elimu hawana ujanjaujanja kupitia siasa wanaishi kifalme.
 
Katika kipindi cha maswali na majibu leo bungeni Mh Chaurembo amehoji kwanini tamisemi isipitie upya uamuzi wa jiji la Dar es Salaam kuvunjwa bila vikao vya madiwani.

Pia amehoji mgawo wa mali za jiji na fedha za mikopo kuwa hazikupata baraka kwenye vikao halali.

Majibu ya naibu waziri Tamisemi.

Jambo hili ni gumu tutalipitia
Picha tena akiwa anaropoka tafadhali🗣️
 
Uelewe hoja. Usirukie bila kuelewa wala kutafakari.

Mkapa aliunda tume kusimamia majukumu ya jiji, hakuvunja wala kubadilisha muundo wake.

Wewe ndo ujifunze hili "Reforms na reorganization huja kwa taswira tofauti". Mkapa aliamua reforms zake na Magu akaamua za kwake. Kila mmoja kwa namna alivoona inafaa. Na Samia akiamua atafanya za kwake kwa sababu serikali kuu iko juu ya za mitaa.
 
Naomba Mh. Tundu Lissu ampe nakala ya kitabu chake anachozindua Kenya Mh. Rais Samia Suluhu Hassan ili aone alivyo na hazina ya watanzania wasomi wenye nia thabiti ya maendeleo ya nchi yetu. Atajua namna ambavyo vyombo vya maauzi na usimamizi ni muhimu sana kwa ustawi wa Taifa. Ona huyu aliyeamuru jiji livunjwe bila hata kuruhusu majadiliano ya wadau wakuu. Bunge nalo likakaa kimya wakati wao ni sehemu ya watoa maamuzi na ushauri kwenye maeneo yao ya uwakilishi.
 
Nyerere yeye alizifuta kabisa halmashauri za nchi nzima na kuzirudisha tena mwaka 1982...humu mmejaa watoto kumbe msojua historia na nguvu ya kimahusiano baina ya serikali kuu na serikali za mitaa
Watu hatukatai Serikali kuu kufanya maamuzi ya kuvunjwa MSM tunachohoji ni taratibu kufuatwa.
 
Alisahau kuwa kuna mwenye absolute power ya Ulimwengu huu nae anapenda haki.
Wewe ni msafi sana mama kiasi cha kusimama mbele zake huyo mwenye haki ukasema unayo haki?

Mimi nadhani, Ni vema hasa ukiwa unamjua yeye mwenye haki kumwachia huyohuyo mwenye haki azungunze juu ya haki ya mwingine, binadamu tunaongozwa na hisia pamoja na chuki ili hali kila mmoja wetu hastahili mbele ya mwenye haki!

Ndiyo, wewe hukuwanyima uhai watu, lakini ni mzinzi, muongo, mwizi wa waume/wake za watu, mgomvi na mwasherati

kwa nini uwahukumu wengine?
 
WANAWAKE KAMA MABINTI NDIO HAO, HAWAWEZI KUTOA HOJA MBELE YA WANAUME WA KWELI...HUSUBIRIA WAWE NA WANAWAKE WENZAO WAANZE KUSEMA UMBEA. WALISHINDWA KUSEMA MBELE YA MWANAUME JEMBE
Ukute Baba yako ni mwanamke au ana tabia za kike
 
Nyerere yeye alizifuta kabisa halmashauri za nchi nzima na kuzirudisha tena mwaka 1982...humu mmejaa watoto kumbe msojua historia na nguvu ya kimahusiano baina ya serikali kuu na serikali za mitaa

Ndio maana kuna hitaji la katiba mpya.

Serikali za mitaa Tanzania zipo de jure (kisheria) LAKINI kiuhalisia (de facto) HAZIPO. Tangu Nyerere alipogundua nguvu kubwa ya serikali hizo na tishio kwa utawala wake wa kiimla aliamua kuzivunjilia mbali.

Baadaye ilipogunduliwa kuwa haukuwa uamuzi sahihi, zikarejeshwa kwa mwongozo kuwa Halmashauri zinakuwa chini ya serikali kuu (PM) na viongozi wake wanateuliwa toka miongoni mwa makada wa CCM walioiva kiitikadi.

Vyama vya ushirika navyo vilichezewa mchezo wa aina hiyo hiyo.

Matokeo yake, tofauti na mwanzoni, viongozi wa vyombo hivyo hawawajibiki tena kwa wananchi wa maeneo yao au wanachama bali kwa mamlaka kuu ya uteuzi (Rais/Mwenyekiti wa CCM).

Athari kubwa imekuwa ni kutamalaki kwa rushwa, ufisadi na kutowajibika katika vyombo hivyo. Na serikali kuu haionyeshi kujali hayo almuradi ina udhibiti kamili juu yao.
 
Lilipovunjwa na Mkapa na kuanzishwa Tume ya Jiji madiwani walishirikishwa? Kama hana uelewa wa nguvu na mahusiano ya kisheria baina ya serikali kuu na serikali za mitaa anatakiwa akajifunze hilo kwa kina
Yah umeongelea masuala ya uelewa wa uongozi kwa kina, kwamba elimu kuna wakati ukifika inajionyesha umuhimu na upekee wake.

Mbunge kayasahau mamlaka ya rais yenye nguvu kuliko hizo taratibu za kirasimu anazosema akiwa bungeni.
 
Back
Top Bottom