Mbunge Chaurembo ataka kupitiwa upya uamuzi wa Jiji la Dar kuvunjwa bila vikao vya madiwani

Nyerere yeye alizifuta kabisa halmashauri za nchi nzima na kuzirudisha tena mwaka 1982...humu mmejaa watoto kumbe msojua historia na nguvu ya kimahusiano baina ya serikali kuu na serikali za mitaa

Wengi Wanajibu kwa mihemko na bila tafakuri. Kifupi watu wengi ni hawajui kujibu kwa tafakari ya kina ni wanajua kudemka
 
Nyerere yeye alizifuta kabisa halmashauri za nchi nzima na kuzirudisha tena mwaka 1982...humu mmejaa watoto kumbe msojua historia na nguvu ya kimahusiano baina ya serikali kuu na serikali za mitaa
Sasa mtoto ni huyo mbunge Chaurembo na waziri Tamisemi, au ni sisi tunaojadiliana hapa?
 
Nyerere yeye alizifuta kabisa halmashauri za nchi nzima na kuzirudisha tena mwaka 1982...humu mmejaa watoto kumbe msojua historia na nguvu ya kimahusiano baina ya serikali kuu na serikali za mitaa

..Na Mwalimu alijutia uamuzi huo.

..Na mpaka leo bado tunaathirika kwa maamuzi yake mabaya.
 
Point ya msingi sana, mwendazake alijifanya Mungu mtu
Kwa taarifa yako Sumaye tu alishawahi kuvunja Baraza la Madiwani na Jiji likaongozwa na Tume. Hivyo mwambie Baraza la Madiwani halina nguvu zidi ya maamuzi ya Rais hata Waziri Mkuu. Mwambie atulize mshono!
 
Katika kipindi cha maswali na majibu leo bungeni Mh Chaurembo amehoji kwanini tamisemi isipitie upya uamuzi wa jiji la Dar es Salaam kuvunjwa bila vikao vya madiwani.

Pia amehoji mgawo wa mali za jiji na fedha za mikopo kuwa hazikupata baraka kwenye vikao halali.

Majibu ya naibu waziri Tamisemi.

Jambo hili ni gumu tutalipitia
Uamuzi wa kupaita Oysterbay , Mbezi beach na Masaki ni nje ya jiji bali chanika na buguruni kwa Mnyamani ndio jiji ulikuwa uamuzi wa kishamba sana na uliojaa maajabu ya mwaka
 
Kuvunja baraza la Madiwani hakufanani na kuihamisha mipaka ya jiji , yaani ni kama wana DASLAM Wameporwa jiji lao kibwege tu
 
Akaamua kutufanyia hisani Watanzania. Kiranga KOMO! atake asitake, mitano mingine KWISHNEY mbali! Huu upuuzi hatuusikii tena mtaani.
Alisahau kuwa kuna mwenye absolute power ya Ulimwengu huu nae anapenda haki.
 
Yule dhalimu alikuwa na chuki hata na jiji la Dar!!!
Uamuzi wa kupaita Oysterbay , Mbezi beach na Masaki ni nje ya jiji bali chanika na buguruni kwa Mnyamani ndio jiji ulikuwa uamuzi wa kishamba sana na uliojaa maajabu ya mwaka
 
..Na Mwalimu alijutia uamuzi huo.

..Na mpaka leo bado tunaathirika kwa maamuzi yake mabaya.
Exactly, hata BW Mkapa naye ikibidi ile Tume ya Charles Keenja aivunje kutokana na kwenda kinyume na dhima nzima ya Development by Devolution
 
Kwa taarifa yako Sumaye tu alishawahi kuvunja Baraza la Madiwani na Jiji likaongozwa na Tume. Hivyo mwambie Baraza la Madiwani halina nguvu zidi ya maamuzi ya Rais hata Waziri Mkuu. Mwambie atulize mshono!

..ndio maana katiba mpya inahitajika.
 
Katika kipindi cha maswali na majibu leo bungeni Mh Chaurembo amehoji kwanini tamisemi isipitie upya uamuzi wa jiji la Dar es Salaam kuvunjwa bila vikao vya madiwani.

Pia amehoji mgawo wa mali za jiji na fedha za mikopo kuwa hazikupata baraka kwenye vikao halali.

Majibu ya naibu waziri Tamisemi.

Jambo hili ni gumu tutalipitia
Vingine vingeachwa jamani,yaani kila maamuzi yaliyofanywa na mwendazake yanahojiwa na kutaka ku-reverse
 
Kunywa sumu ufe! Haturudi nyuma!
karibu kwenye kongamano la Katiba Mpya
No_Hate_No_Fear_on_Instagram:_“Yericko_Nyerere_Atakuwepo.”%22_.jpg
 
Presidential order matters the most,

The late C in C was right to dissolve that ghost city council!
 
hawahawa ndio wale waliokuwa wanataka Magufuli atawale milele, Magufuli amekufa ndio wanajifanya wanahoji vitu alivyoharibu Magufuli,wakati alipokuwa hai hakuna aliyethubutu kuhoji, wapinzani wakihoji wanapigwa risasi na kutekwa na ndio waliokuwawanakuwa wa kwanza kushangilia vitendo vyote viovu vilivyokuwa vinafanywa na Magufuli.
 
Wanaccm hawaachiani maji ya kunywa mezani - Kikwete
 
Hawa wabunge wa awamu hii tukubali tu tumekula hasara.
 
Back
Top Bottom