Nyerere yeye alizifuta kabisa halmashauri za nchi nzima na kuzirudisha tena mwaka 1982...humu mmejaa watoto kumbe msojua historia na nguvu ya kimahusiano baina ya serikali kuu na serikali za mitaa
Sasa mtoto ni huyo mbunge Chaurembo na waziri Tamisemi, au ni sisi tunaojadiliana hapa?Nyerere yeye alizifuta kabisa halmashauri za nchi nzima na kuzirudisha tena mwaka 1982...humu mmejaa watoto kumbe msojua historia na nguvu ya kimahusiano baina ya serikali kuu na serikali za mitaa
Nyerere yeye alizifuta kabisa halmashauri za nchi nzima na kuzirudisha tena mwaka 1982...humu mmejaa watoto kumbe msojua historia na nguvu ya kimahusiano baina ya serikali kuu na serikali za mitaa
Kwa taarifa yako Sumaye tu alishawahi kuvunja Baraza la Madiwani na Jiji likaongozwa na Tume. Hivyo mwambie Baraza la Madiwani halina nguvu zidi ya maamuzi ya Rais hata Waziri Mkuu. Mwambie atulize mshono!Point ya msingi sana, mwendazake alijifanya Mungu mtu
Uamuzi wa kupaita Oysterbay , Mbezi beach na Masaki ni nje ya jiji bali chanika na buguruni kwa Mnyamani ndio jiji ulikuwa uamuzi wa kishamba sana na uliojaa maajabu ya mwakaKatika kipindi cha maswali na majibu leo bungeni Mh Chaurembo amehoji kwanini tamisemi isipitie upya uamuzi wa jiji la Dar es Salaam kuvunjwa bila vikao vya madiwani.
Pia amehoji mgawo wa mali za jiji na fedha za mikopo kuwa hazikupata baraka kwenye vikao halali.
Majibu ya naibu waziri Tamisemi.
Jambo hili ni gumu tutalipitia
Kuvunja baraza la Madiwani hakufanani na kuihamisha mipaka ya jiji , yaani ni kama wana DASLAM Wameporwa jiji lao kibwege tuKwa taarifa yako Sumaye tu alishawahi kuvunja Baraza la Madiwani na Jiji likaongozwa na Tume. Hivyo mwambie Baraza la Madiwani halina nguvu zidi ya maamuzi ya Rais hata Waziri Mkuu. Mwambie atulize mshono!
Alisahau kuwa kuna mwenye absolute power ya Ulimwengu huu nae anapenda haki.
Uamuzi wa kupaita Oysterbay , Mbezi beach na Masaki ni nje ya jiji bali chanika na buguruni kwa Mnyamani ndio jiji ulikuwa uamuzi wa kishamba sana na uliojaa maajabu ya mwaka
Exactly, hata BW Mkapa naye ikibidi ile Tume ya Charles Keenja aivunje kutokana na kwenda kinyume na dhima nzima ya Development by Devolution..Na Mwalimu alijutia uamuzi huo.
..Na mpaka leo bado tunaathirika kwa maamuzi yake mabaya.
Kunywa sumu ufe! Haturudi nyuma!Kuvunja baraza la Madiwani hakufanani na kuihamisha mipaka ya jiji , yaani ni kama wana DASLAM Wameporwa jiji lao kibwege tu
Kwa taarifa yako Sumaye tu alishawahi kuvunja Baraza la Madiwani na Jiji likaongozwa na Tume. Hivyo mwambie Baraza la Madiwani halina nguvu zidi ya maamuzi ya Rais hata Waziri Mkuu. Mwambie atulize mshono!
Vingine vingeachwa jamani,yaani kila maamuzi yaliyofanywa na mwendazake yanahojiwa na kutaka ku-reverseKatika kipindi cha maswali na majibu leo bungeni Mh Chaurembo amehoji kwanini tamisemi isipitie upya uamuzi wa jiji la Dar es Salaam kuvunjwa bila vikao vya madiwani.
Pia amehoji mgawo wa mali za jiji na fedha za mikopo kuwa hazikupata baraka kwenye vikao halali.
Majibu ya naibu waziri Tamisemi.
Jambo hili ni gumu tutalipitia
Katiba ni Kitabu tu kama vitabu vingine mkuu kinachotakiwa ni utashi wa watz!..ndio maana katiba mpya inahitajika.
karibu kwenye kongamano la Katiba MpyaKunywa sumu ufe! Haturudi nyuma!
Vita Ya Uchumi Ni Mbaya Sana Ndugu Zangu 😂Alisahau kuwa kuna mwenye absolute power ya Ulimwengu huu nae anapenda haki.
Wanaccm hawaachiani maji ya kunywa mezani - Kikwetehawahawa ndio wale waliokuwa wanataka Magufuli atawale milele, Magufuli amekufa ndio wanajifanya wanahoji vitu alivyoharibu Magufuli,wakati alipokuwa hai hakuna aliyethubutu kuhoji, wapinzani wakihoji wanapigwa risasi na kutekwa na ndio waliokuwawanakuwa wa kwanza kushangilia vitendo vyote viovu vilivyokuwa vinafanywa na Magufuli.