Mbunge Chaurembo ataka kupitiwa upya uamuzi wa Jiji la Dar kuvunjwa bila vikao vya madiwani

Binafsi naomba lisirejee maana wao walishirik kulichezea, kheri lisiwepo
 
Jiji lilivunjwa kwa mihemko ya mwendazake.
Watu wengi walipata ulaji bila kazi maalum huyo kiongozi alikuwa sahihi maana hao walikuwa wanatumia kodi za wanainch bila machungu


Magufuli alikuwa na maono ndiyo maana kipindi chake tuliheshimiana sana siku hizi

Hatujui hasa serikali iko kipi vipi maana hatuoni lengo la pamoja la serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…