bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 8,094
- 7,853
hebu toa mifano ya hizo nyimbo, au ulidhania ile ya Diamond imehusu Zenji?Huwa nashindwa kuwaelewa Wazanzibar nyimbo zao zina maudhui ya matusi sana lakini kwa kujifanya washika dini sasa...
hebu toa mifano ya hizo nyimbo, au ulidhania ile ya Diamond imehusu Zenji?Huwa nashindwa kuwaelewa Wazanzibar nyimbo zao zina maudhui ya matusi sana lakini kwa kujifanya washika dini sasa...
Hahaha hapo wazenji unawaonea bure hiyo ni nyimbo ya diamond chogo kabisa alie kulia kigoma mwisho wa reli.Huwa nashindwa kuwaelewa Wazanzibar nyimbo zao zina maudhui ya matusi sana lakini kwa kujifanya washika dini sasa...
Nyimbo za Zuchu huwa unazielewa maudhui yake?hebu toa mifano ya hizo nyimbo, au ulidhania ile ya Diamond imehusu Zenji?
Ndio alichowaahidi wananchi wake? au mna kazi ya kumsema GwajiboyMwaka wa uchaguzi na mambo yanazidi kunoga sana. Hakika tutayaona mengi tu!
Mbunge kupitia jimbo la Kusini Unguja Ndugu Khamis Hamza Chilo akiwasaidia wananchi wake Kukuna nazi 🥥 na Kupeta Mchele.
Ndiyo mbinu yenyewe, nawe pambana na mazingira vinginevyo utabaki kulalamika mpk mwisho wa pumzi yako hp duniani. Huwezi kulazimisha watu wawe unavyotaka wewe. Ukifika Roma fanya km waroma, wakiinama inama, ndiyo sehemu CCM inawapiga baoMm kinachonishangaza n hapo lazima kuna wapumbavu wanashangilia hilo, baada ya hapo ni kura za ndio tuuu 🔥
WTF
si ndiyo nyinyi vijana munaompandisha chati? Mimi sizijui maana sizifuatiliiNyimbo za Zuchu huwa unazielewa maudhui yake?
Hili chama chakavu lina usengerema mwingi sana.Mwaka wa uchaguzi na mambo yanazidi kunoga sana. Hakika tutayaona mengi tu!
Mbunge kupitia jimbo la Kusini Unguja Ndugu Khamis Hamza Chilo akiwasaidia wananchi wake Kukuna nazi 🥥 na Kupeta Mchele.