Mbunge Condester Michael atimuliwa Bungeni kwa kuvaa ovyo. Spika awaagiza askari wa bunge kuwazuia getini wavaa ovyo

Kwanza kwa umri wake yule mzee angemwambia hata Tulia amuonye nje ya muuongozo wa kanuni ikawa siri.Sasa binti wa watu hayo mavazi mbona SUPER! Kuna mzee mwenzie wa same mbunge anavaaga ovyo tu matiti nje hajawahi omba mwongozo.
 
AIISEEE!

Hapo kuna jambo jingine, siyo uvaaji unaoonekana hapa!

Sasa inakuwaje na yulekilaza Spika naye anaungane na huyo mdhalilishaji wa jinsia!`

Ingependeza na picha ya huyo mbunge tukaiona, na yeye tuangalie namna ya uvaaji wake au mwonekano wake ulivyo.

Hapa kamdhalilisha mbunge mwenzake bila ya sababu kabisa.
 
WABUNGE CCM KE, MLIAMSHE KWA KUGONGA MEZA KAMA VIPI MTOKE NJE KWAKUDHALILISHWA
 
Umeona nguo aliyorudi kavaa baada ya kufukuzwa,tafuta picha uone halafu utatujibu,
Mkuu moja wa mambo magumu sana duniani ni kuishi ama kufanya kazi na MSWAHILI ndo kilichotokea
Mkuu dos. Suruali imembana, na kiblauzi kifupi. Tatizo wanajisahau sana.

Kama ni mimi nisingemtoa wala nisingemruhusu kusimama/kuongea na minguo yake ya ajabu kadamnasi, ila onyo angelipata
 
Wanajuana hao usikute huyo demu ni kicheche shanga zilikuwa nje nje
 
Umeona nguo aliyorudi kavaa baada ya kufukuzwa,tafuta picha uone halafu utatujibu,
Mkuu moja wa mambo magumu sana duniani ni kuishi ama kufanya kazi na MSWAHILI ndo kilichotokea

Binafsi sikupenda namna alivyozalilishwa. Spika Angewatangazia umati wote ndani ya bunge wavae nguo za heshima/kujisitiri.
 
Aiseee....
Kweli hii nchi ya kipuuzi......
Wakati nchi zingine wabunge wanawaweka kiti moto wasomi wa nchi watafute solution za matatizo...
Hawa kenge wetu wanaenda bungeni kuchunguzana mavazi........ Nyambafuuu kabisa..
 
Sijaona alichokosea huyu Dada nilidhani alivaa mini skirt iliyowasabishia mfadhaiko Bungeni wabunge muache kudemka Alisema Amiri jeshi wetu.
Huyo dada yuko poa sana.
Huyu mbunge Amar amesalitiwa na mifadhaiko inayowapata wabunge fulani huko Dodoma Ndani ya Mjengo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…