Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AIISEEE!Tukio la leo asubuhi , lalamiko la Mbunge wa Nyangw'ale Hussein Nassor Amar akilalamika ati Mbungwe mwenziwe Condester Minael Sichalwe kavaa visivyo, limeelezea zaidi mtoa hoja anafikiri nini huko Bungeni kuliko kile “waliomchagua” kuwawakilisha wanachokitaka toka kwake.
Tunaifahamu Dodoma, na jinsi watu wanakaa bila wake zao kwa muda mrefu, na tunafahamu imagination ile Mbunge kama huyu wa Nyang’wale anavyoweza kufadhaika kiakili pasipo na sababu.
BINTI YULE ALIVAA VIZURI KABISA.
View attachment 1805304
Tena kwa heshima kabisa, sasa sijui huyu Hussein Nassor Amar alitaka avae baibui au?
Hata picha zinaonhesha binti yuko sawa kabisa.
Mbunge wa Nyang’wale alipita ubunge kwa vigezo vipi haswa vya kutetea chama na maslahi ya nchi?
Zengwe tu lile
Kuna msahafu wa dini yoyote unaozungumzia aina ya mavazi?Kwa wakristo hilo vazi LA heshima sana
Huyo mdini tu, hana lolote...Kuna msahafu wa dini yoyote unaozungumzia aina ya mavazi?
Hili ni swali, ningefurahi kupata majibu juu yake.
Mkuu dos. Suruali imembana, na kiblauzi kifupi. Tatizo wanajisahau sana.
Kama ni mimi nisingemtoa wala nisingemruhusu kusimama/kuongea na minguo yake ya ajabu kadamnasi, ila onyo angelipata
Hilo vazi mbona ni vazi la kawaida tu tatizo liko wapi? spika n mbunge wake wamefanya kituko cha aibu kwa kweli
Umeona nguo aliyorudi kavaa baada ya kufukuzwa,tafuta picha uone halafu utatujibu,
Mkuu moja wa mambo magumu sana duniani ni kuishi ama kufanya kazi na MSWAHILI ndo kilichotokea
Huyo dada yuko poa sana.Sijaona alichokosea huyu Dada nilidhani alivaa mini skirt iliyowasabishia mfadhaiko Bungeni wabunge muache kudemka Alisema Amiri jeshi wetu.