Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bunge zima hili ni la kipuuzi, linaloendeshwa kipuuzi puuzi tu!Zengwe tu lile
Ova
Wanajadili mambo ya siyo kuwa na tija kwa taifaBunge zima hili ni la kipuuzi, linaloendeshwa kipuuzi puuzi tu!
Ni kazi bure kujaribu kueleza lolote la maana kuhusu Bunge hili.
😂😂😂😂😂😂Wanajuana hao usikute huyo demu ni kicheche shanga zilikuwa nje nje
Akasikika mtu akisema kwa sauti kuu "ATA WAPUMBAVU NA WANAFIKI UZEEKA"
Kuna wakati nilidhani wasomi wajinga wapo tu huko Bungeni. Huku JF, niliamini hawapo maana tuliambiwa bi home of great minds, lakini naona hata JF haijanusurika karika kuishi wanafiki wajinga.Hii nchi ni ya kipuuzi sana, Tatizo la huyu dada ni nini? na bado kuna watu wanasapoti huu upuuzi uliofanywa.
Wanaangalia nini tena wakati halina heshima ha ha ha nchi ngumu hii