Mbunge Condester Michael atimuliwa Bungeni kwa kuvaa ovyo. Spika awaagiza askari wa bunge kuwazuia getini wavaa ovyo

Mbunge Condester Michael atimuliwa Bungeni kwa kuvaa ovyo. Spika awaagiza askari wa bunge kuwazuia getini wavaa ovyo

Hawa wazee ndio kinakifimbo cheza wa mjengoni, kuchungulia kwenye njia panda nae akapandisha mzuka
 
Bunge zima hili ni la kipuuzi, linaloendeshwa kipuuzi puuzi tu!

Ni kazi bure kujaribu kueleza lolote la maana kuhusu Bunge hili.
Wanajadili mambo ya siyo kuwa na tija kwa taifa

Ova
 
Haijakaa vizuri kabisa naona misimamo ya kidini inaletwa bungeni Islamic culture imepelekwa kwa ambaye sio muhusika eti avae nguo ndefu na baibui au ajitande, haipo sawa kabisa, pili alistahili kupewa onyo tu na sio kutolewa nje.
 
Naunga mkono hoja sijaona vaz baya kwa huyu binti

Mbona yeye kavaa lisuti oversize hakuna aliyemwambia atoke nje

Hawa wazee wanataka dada zetu wavaeje Sasa

Itungwe sheria pia kuvaa suti oversize iwe n kosa pia
 
Uwenda mdada kajaaliwa mzigo na ile suruali aliyovaa ilimchora vizuri makalio na jamaa aliona akafedheheka au uenda ni uzeee tu wa mbunge wa Nyang'wale
 
ni vizuri mkaleta video inayomuonyesha Mh Mbunge kwa nyuma akiwa anatembea...
 
Haya ndio madhara ya kujaza wazee wenye umri wa kustaafu bungeni
 
Dingi badala ya kuchangia hoja za wananchi wake anaendekeza kuangalia mapaja na mbususu za wabunge wenzake, mjinga mmoja huyu
 
Bunge hili lina hadhi yoyote ambayo unaweza kusema linatakiwa kuilinda? Kwangu mimi naliona ni kama genge la wahuni walioamua kuvaa suti. Hiyo suruali ya huyo dada inaweza kuzidi uovu:
1) wa spika kumtandika rungu mwenzake mpaka kuzimia, na kisha kumwomba mwendazake amteue kuwa DC ili kupunguza ushindani?

2) wa spika kula njama na mahela ya kumwengua mgombea wa upinzani ili apite bila kupingwa?

3) wa robo tatu yao kuwa wateule wa marehemu na siyo wachaguliwa wa wanachi. Robo taru yao, wote siyo wale walioongoza kwenye kura za maoni

4) wa karibia wote kuwa zao la maagizo ya ibilisi kuwa lazima watangazwe washindi?

Mambo makubwa mawili, dhuluma na mauaji, ni lazima yalete laana. Wabunge hawa, kama alivyokuwa kiongozi wao, wamelaanika, wanatembea na kuishi na laana mpaka vizazi vyao vya nne kwa sababu ni mazao ya dhuluma.
 
Hii nchi ni ya kipuuzi sana, Tatizo la huyu dada ni nini? na bado kuna watu wanasapoti huu upuuzi uliofanywa.
Kuna wakati nilidhani wasomi wajinga wapo tu huko Bungeni. Huku JF, niliamini hawapo maana tuliambiwa bi home of great minds, lakini naona hata JF haijanusurika karika kuishi wanafiki wajinga.

Ile suruali ya yule dada, haina tatizo lolote. Hakuna suruali ambato haioneshi sehemu yoyote ya mwili, hata uvae pajama.

Huyu mbunge aliyeomba mwongozo, naehani ana UH+++. Badala ya kufuatilia vikao vya Bunge amebaki kuangalia maungo ya wanawake kwa tamaa ya ngono.

Kama wanataka mavazi ya asiki yetu, aingie bungeni wakiwa wamevaa ngozi, na ndani bila xhupi, haoo tutakuwa tumeenzi mavazi ya asili yetu.
 
Back
Top Bottom