Mbunge Condester Michael atimuliwa Bungeni kwa kuvaa ovyo. Spika awaagiza askari wa bunge kuwazuia getini wavaa ovyo

Mbunge Condester Michael atimuliwa Bungeni kwa kuvaa ovyo. Spika awaagiza askari wa bunge kuwazuia getini wavaa ovyo

Tatizo la kuchagua wabunge wazee halafu wanaongozwa na spika mzee.

Dada katokelezea,menyewe kwasabb yamepitwa na wakati yanawaza ngono tu.
Wewe unatoka nje ya mada, labda kama unamaanisha wazee wa akili. Tupo wazee tunaoijua dunia inavyoenda kuliko vijana wengi wa miili lakini waliozeeka akili.
 
Bila shaka mbunge mwomba mwongozo atakuwa na tatizo la kisaikolojia, asaidiwe. Lakini spika inaonekana ana matatizo mengi makubwa. Sidhani kama anaweza kusaidiwa na akawa na hekima japo kidogo.
 
Ndugu zangu wa Nyang'wale Wana bahati mbaya kuwa na Mbunge kilaza Kama yule. Spika nae kakosea sana kumtoa nje bila kuhakikisha tuhuma hizo. Naamini kesho huyo mzee atamuomba radhi binti na Mbunge wetu.
 
Tukio la leo asubuhi , lalamiko la Mbunge wa Nyangw'ale Hussein Nassor Amar akilalamika ati Mbungwe mwenziwe Condester Minael Sichalwe kavaa visivyo, limeelezea zaidi mtoa hoja anafikiri nini huko Bungeni kuliko kile “waliomchagua” kuwawakilisha wanachokitaka toka kwake.

Tunaifahamu Dodoma, na jinsi watu wanakaa bila wake zao kwa muda mrefu, na tunafahamu imagination ile Mbunge kama huyu wa Nyang’wale anavyoweza kufadhaika kiakili pasipo na sababu.

BINTI YULE ALIVAA VIZURI KABISA.
View attachment 1805304

Tena kwa heshima kabisa, sasa sijui huyu Hussein Nassor Amar alitaka avae baibui au?
Hata picha zinaonhesha binti yuko sawa kabisa.

Mbunge wa Nyang’wale alipita ubunge kwa vigezo vipi haswa vya kutetea chama na maslahi ya nchi?
Kwani VAZI AINA HILO linaruhusiwa na kanuni za BUNGE ?!!!!

Ama pang'ang'a tu ?!!!🤣🤣

Bungeni hata ukivaa KANZU bila ya KOTI ,KIBARAGHASHIA na MAKOBAZI unakuwa umekiuka TARATIBU ZA MAVAZI ENEO LILE !!!

Hivi mmemsahau Yule MBUNGE aliyemlalamikia SPIKA kuwa BABA YAKE "amenyanyaswa" kwa kuzuiwa kuingia viwanja vya bunge na SHUKA (mgololole) za kimasai ?!!!

Mh.Spika alimjibu vyema tu kuwa ni kweli KUZUIWA MZEE WAKE SI JAMBO JEMA ,ila wataangalia tena kanuni ,Kwani VAZI LA AINA HIYO halitambuliwi na SHERIA ZAO ZA MAVAZI......

Lastly ,mbunge Amar wa Nyang'wale yuko sahihi kabisa kwani ,kanuni za BUNGE ndizo zilizomtoa huyo mbunge mwanamke !!!

#KaziIendelee
 
Aiseee....
Kweli hii nchi ya kipuuzi......
Wakati nchi zingine wabunge wanawaweka kiti moto wasomi wa nchi watafute solution za matatizo...
Hawa kenge wetu wanaenda bungeni kuchunguzana mavazi........ Nyambafuuu kabisa..
Kwa hiyo ukienda na "kichupi" uachiwe kwa sababu mjenga hoja kuntu?!!!

Sheria za bunge ndivyo zilivyo, unataka kuzipinga ?!!!!
 
Tukio la leo asubuhi , lalamiko la Mbunge wa Nyangw'ale Hussein Nassor Amar akilalamika ati Mbungwe mwenziwe Condester Minael Sichalwe kavaa visivyo, limeelezea zaidi mtoa hoja anafikiri nini huko Bungeni kuliko kile “waliomchagua” kuwawakilisha wanachokitaka toka kwake.

Tunaifahamu Dodoma, na jinsi watu wanakaa bila wake zao kwa muda mrefu, na tunafahamu imagination ile Mbunge kama huyu wa Nyang’wale anavyoweza kufadhaika kiakili pasipo na sababu.

BINTI YULE ALIVAA VIZURI KABISA.
View attachment 1805304

Tena kwa heshima kabisa, sasa sijui huyu Hussein Nassor Amar alitaka avae baibui au?
Hata picha zinaonhesha binti yuko sawa kabisa.

Mbunge wa Nyang’wale alipita ubunge kwa vigezo vipi haswa vya kutetea chama na maslahi ya nchi?
Inawezekana alipigwa kibuti, hawa wanawake wazuri wakubwa wanakura kwa kwenda mbele
 
Kwa yaliyotokea leoooo
Sidhani Kama mna UMOJA wenu hili Jambo lisiachwe KIMYA

Kama mbunge anadhalilika vile. Mwanamke kesho, mjiandae wengine KUDHALILIKA

LAZIMA HILI vazi LIANGALIE pande zote wapi palikuwa na SHIDA simjui nilichoona Leo n tamaaa ya mwili

Hataaa walipokuwa akitoka watu KADHAA walitoamachozi macho kama.vile.ilikuwa.planned

Mjitathimini kilichotokea leo hujui KESHO anafwata Nani

Badokulikuwa na hekima ya kujibu ataelezwa ajirekebishe then mmemaliza vikao vyenu wote.mjirishishe SHIDA wapi na kama kuna aliekosea achukuliwe hatua kinidhamu

Nguo haima shida matanio ya nafsi ndio yaliokuwa tatizo mkaekimya mtanikumbuka
 
AIISEEE!

Hapo kuna jambo jingine, siyo uvaaji unaoonekana hapa!

Sasa inakuwaje na yulekilaza Spika naye anaungane na huyo mdhalilishaji wa jinsia!`

Ingependeza na picha ya huyo mbunge tukaiona, na yeye tuangalie namna ya uvaaji wake au mwonekano wake ulivyo.

Hapa kamdhalilisha mbunge mwenzake bila ya sababu kabisa.
Huyu Mbunge nafikiri alijikojelea kuona dada kapendeza hivyo. Where are we getting these stupid MPs wenye akili ya nzi. Surely, he should know on why he is in the Bunge. Alisimamisha mpaka akashindwa kujizuia. She is very well dressed. Wabunge, nendeni na wakati. Ndiyo maaana bunge lilipelekwa Dodoma karibu na hospitali ya Mirembe. Hawa wabunge hawana akili. They are running a country, what a joke!!
 
Jamani nani yuko karibu naye anipe namba yake nimpigie na kumpa faraja? Kama yuko singo lakini 😅😃😅
 
Aiseee....
Kweli hii nchi ya kipuuzi......
Wakati nchi zingine wabunge wanawaweka kiti moto wasomi wa nchi watafute solution za matatizo...
Hawa kenge wetu wanaenda bungeni kuchunguzana mavazi........ Nyambafuuu kabisa..
Ndiyo kuoza kwa nchi hivyo. Macho ya Mbunge ni kwa wanawake tu. They have been there for 3 months, I sympathise with him but he should concentrate on what Bunge does au labda wawe na workshops za kufundishwa kupiga punyeto. It is done so why can't we help our hounourable MPs. These are tax payers funded workshops, so it should be compulsory.
 
Kwa hiyo ukienda na "kichupi" uachiwe kwa sababu mjenga hoja kuntu ?!!!

Sheria za bunge ndivyo zilivyo ,unataka kuzipinga ?!!!!
Hawa hapo chini wamewatengenezea chanjo kibao mnazitumia na madawa kedekede na mkienda pharmacy mnasema nataka ile UK au ya Germany.......

1622584872542.png

Sheria za hilo bunge la wajinga...
Badala ya kuwaita NIMR na kuwauliza wanawezaje kugeuza mitishamba kuwa dawa za kukabiliana na tropical diseases...au kusaidia kupunguza vifo ya mama na mtoto
au Kuwauliza TIRDO wameshindwa wapi kusaidia kilimo au viwanda kwa technologia.....

Wao wanaenda kuimba mapambio... na kuangalia nani kavaa nini.....
 
Tukio la leo asubuhi , lalamiko la Mbunge wa Nyangw'ale Hussein Nassor Amar akilalamika ati Mbungwe mwenziwe Condester Minael Sichalwe kavaa visivyo, limeelezea zaidi mtoa hoja anafikiri nini huko Bungeni kuliko kile “waliomchagua” kuwawakilisha wanachokitaka toka kwake.

Tunaifahamu Dodoma, na jinsi watu wanakaa bila wake zao kwa muda mrefu, na tunafahamu imagination ile Mbunge kama huyu wa Nyang’wale anavyoweza kufadhaika kiakili pasipo na sababu.

BINTI YULE ALIVAA VIZURI KABISA.
View attachment 1805304

Tena kwa heshima kabisa, sasa sijui huyu Hussein Nassor Amar alitaka avae baibui au?
Hata picha zinaonhesha binti yuko sawa kabisa.

Mbunge wa Nyang’wale alipita ubunge kwa vigezo vipi haswa vya kutetea chama na maslahi ya nchi?

Capture.PNG
 
Huyo babu nadhani hana analofanya humo ndani wana jimbo lake ndio wamemtuma ujinga ujinga huo ??
 
Back
Top Bottom