Mbunge Deo Sanga wa Makambako afunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu

Deo Sanga , Maarufu kama Jah People , ambaye ni mbunge wa Jimbo la Makambako , leo 14/9/2022 amefunga ndoa Takatifu katika Kanisa Katoliki mjini humo .

Chanzo : Mwananchi

Bado haijajulikana kama hii ni ndoa ya kwanza au la .
Majuto ni mjukuu
 
Mkuu sidhani kama uko sahihi kwenye huu mtazamo wako, yule ni kiongozi wa watu...... Ndiyo maana Media nyingi zimeripoti kupitia kurasa za mitandaoni, then mbona Mrema namna ilivyoripotiwa hukulalamika kama Jah people?
 
Huyu Sanga ni Mrema ajae.. mpeni mda tu
 
Padre wa kikatoliki aliwahi kuniambia ndoa ya RC sio siri, ndio maana utangazwa wiki 3 kabla ya ndoa, na utangazwa kanisani kwa mchumba alikozaliwa, anakoishi sasa nk, na ni kwa pande zote 2, sasa hapo huo usiri unatoka wapi??
 
Sijui nimecheka nini dah ...ccm bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…