Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Kuna tofauti kati ya siri, secrets, na faragha, the right to privacy!. Hata nikikaa bar openly kujinywea Joni Mtembezi wangu, huruhusiwi kunipiga picha au kunisema popote in public kuwa nimemuona Pasco yuko counter ya Rombo Green View, anapiga vitu!.Padre wa kikatoliki aliwahi kuniambia ndoa ya RC sio siri, ndio maana utangazwa wiki 3 kabla ya ndoa, na utangazwa kanisani kwa mchumba alikozaliwa, anakoishi sasa nk, na ni kwa pande zote 2, sasa hapo huo usiri unatoka wapi??
Japo sio siri lakini kunipiga picha au kunizungumzia ni kuniingilia my right to privacy.
Ndoa, ni tukio personal la public na inatangazwa openly na inafungwa openly watu wamealikwa openly na kupiga picha na simu janja zao na kushare kwenye social media lakini kuzileta picha hizo kwenye public forum or mainstream media bila ruhusa ya wahusika ni kuingilia their right to privacy!.
P