Mbunge Elibariki Kingu aingia kwenye kashfa ya ngono na kuzaa nje ya ndoa

Kama ambavyo mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani tanzania mwenye umr wa miaka 57 anavyombambia miss tanzania 2006 wema sepetu mwenye umri wa miaka 29
Chairman anapenda totoooooz nae, mh!!!!
 
Huyo kingu atapata muda wa kulea Huyo mtoto. ...? Mwisho ni taifa lisilokuwa na malezi yeyote, lisilo wajibika bado sisi waafrika tutasubiri sana. Mnasifia michepuko na kuhalalisha upuuzi. Acha trump atutukane ndiyo tunayoweza
Trump mwenyewe ana mke zaidi ya mmoja, hukumbuki siku anaapishwa alikuja na wake sake wote si chini ya watatu hivi.
 
Mods huu uzi ni marudio,
Uzi halisi wa hii issue ulikua huu hapa chini,
Mbunge Elibariki Kingu aingia kwenye kashfa ya ngono na kuzaa nje ya ndoa
Ziungeni tu hizi Nyuzi,
CC Innovator, Reserved, Paw etc
 
Kama ambavyo mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani tanzania mwenye umr wa miaka 57 anavyombambia miss tanzania 2006 wema sepetu mwenye umri wa miaka 29
Chairman anapenda totoooooz nae, mh!!!!
Duh...............
 
Kuzaa nje ya ndoa sio kosa kosa ni kuwa na mke mmoja. Hakuna mwanaume anaeweza kuwa na mke mmoja labda taahira. Mwanaume Mungu amemuekea miundombinu ya kuweza kutembea na hata wanawake 5 kwa siku, na kila mtembeo mmoja unaweza kusababisha mimba. Nini cha ajabu hapo?

Ambae hajawahi kutembea na mwanamke au mwanaume wa nje humu ndani anyooshe kidole chake juu tumuone.

Ruhusuni ndoa za wanawake wengi kupunguza mihemko. Wasichana wazuri wako wengi sana na hata wanaume kwanini ule kibudu kila siku?
 
PETRO:MIMI NI MWENYE DHAMBI
YESU :TANGU SASA (BAADA YA KUKIRI) UTAKUWA MVUVI WA WATU ...WEWE NDIWE PETRO NA JUU YA MWAMBA HUU NITALIJENGA KANISA LANGU
 
PETRO:MIMI NI MWENYE DHAMBI
YESU :TANGU SASA (BAADA YA KUKIRI) UTAKUWA MVUVI WA WATU ...WEWE NDIWE PETRO NA JUU YA MWAMBA HUU NITALIJENGA KANISA LANGU
historia ya akina petro achana nayo, haifanyi kazi siku hizi, hata wenyewe waliyoileta huku na kutuhadithia walishaipuuza. Mungu wako sio lazima afanane na yule wa Petro.
 
historia ya akina petro achana nayo, haifanyi kazi siku hizi, hata wenyewe waliyoileta huku na kutuhadithia walishaipuuza. Mungu wako sio lazima afanane na yule wa Petro.
Mungu wangu ni yule yule wa petro sema mahusiano yangu na yeye hayahusiani na yake na petro mkuu,hapo maana yangu ilikuwa kumfariji mbunge kwamba siku zote ukikiri makosa yako ukimaanisha kuyaacha mungu huja na mpango mkubwa juu yako
 
Sioni tatizo hapo, ndio maisha yatu africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…