Ghost Worker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 1,412
- 1,864
Just like ur mom's that keeps ur dad in touch.Shut up...you shithole!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Just like ur mom's that keeps ur dad in touch.Shut up...you shithole!
Wanasiasa wengi TZ hawaheshimu kabisa familia zao...Mfano huyu Emmanuel Kingu, ana ndoa lakini bado ana michepuko kibao akiwemo Miss Shinyanga 2014, Nicole Franklin ambaye katika video hii anaongea proudly kabisa kwamba Kingu ndiye Baba mtoto wake, pamoja na kujifanya anamhurumia mke wa Kingu...wacha Trump awaite shitholes
Trump mwenyewe ana mke zaidi ya mmoja, hukumbuki siku anaapishwa alikuja na wake sake wote si chini ya watatu hivi.Huyo kingu atapata muda wa kulea Huyo mtoto. ...? Mwisho ni taifa lisilokuwa na malezi yeyote, lisilo wajibika bado sisi waafrika tutasubiri sana. Mnasifia michepuko na kuhalalisha upuuzi. Acha trump atutukane ndiyo tunayoweza
Wanasiasa wengi TZ hawaheshimu kabisa familia zao...Mfano huyu Emmanuel Kingu, ana ndoa lakini bado ana michepuko kibao akiwemo Miss Shinyanga 2014, Nicole Franklin ambaye katika video hii anaongea proudly kabisa kwamba Kingu ndiye Baba mtoto wake, pamoja na kujifanya anamhurumia mke wa Kingu...wacha Trump awaite shitholes
Ha ha haabila shaka ni mbunge wa ccm
Duh...............Kama ambavyo mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani tanzania mwenye umr wa miaka 57 anavyombambia miss tanzania 2006 wema sepetu mwenye umri wa miaka 29
Chairman anapenda totoooooz nae, mh!!!!
Kuzaa nje ya ndoa sio kosa kosa ni kuwa na mke mmoja. Hakuna mwanaume anaeweza kuwa na mke mmoja labda taahira. Mwanaume Mungu amemuekea miundombinu ya kuweza kutembea na hata wanawake 5 kwa siku, na kila mtembeo mmoja unaweza kusababisha mimba. Nini cha ajabu hapo?Mbunge wa jimbo la Singida Magharibi, Elibariki Kingu, amekumbwa na kashfa ya kungonoka na wasichana watatu tofauti na mmoja kuzaa naye, mdada aliyezaa naye anaitwa Nicole Franklin na pia imeelezwa kuwa ndiye aliyemuachanisha Vanessa Mdee(Vee Money) kwa Jux kisha kumnyakuwa kama mwewe na msichana mwingine Anaitwa Irene (queenlynei) ambaye ana duka la nguo na amemuweka karibu na familia yake kiasi kwamba huwa anampelekea mke wa kingu na watoto zawadi mbali mbali huku wakijinasibu kuwa wao ni kaka na dada ila hivi karibuni wakiwa huko uchinani(Irene na Kingu) snap ya Irene ilionesha watu hao wawili wakiwa kwenye mahaba mazito na wakati huo huo Kingu akiongeza speed ya kumsifia mkewe insta ili mama wa watu asistukie kama tunda lake linaliwa.
Kumekuwa na vita ya maneno kiasi cha kupelekea account ya Kingu kuwekwa private coz mashosti wa mzazi mwenza wa Kingu wamekuwa wakitoa maneno ya kumshambulia Kingu kuhusu tabia ya umalaya na kuacha kutoa huduma kwa mtoto huku akijificha kwenye kivuli cha mapenzi mazito kwa mkewe.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
historia ya akina petro achana nayo, haifanyi kazi siku hizi, hata wenyewe waliyoileta huku na kutuhadithia walishaipuuza. Mungu wako sio lazima afanane na yule wa Petro.PETRO:MIMI NI MWENYE DHAMBI
YESU :TANGU SASA (BAADA YA KUKIRI) UTAKUWA MVUVI WA WATU ...WEWE NDIWE PETRO NA JUU YA MWAMBA HUU NITALIJENGA KANISA LANGU
Mungu wangu ni yule yule wa petro sema mahusiano yangu na yeye hayahusiani na yake na petro mkuu,hapo maana yangu ilikuwa kumfariji mbunge kwamba siku zote ukikiri makosa yako ukimaanisha kuyaacha mungu huja na mpango mkubwa juu yakohistoria ya akina petro achana nayo, haifanyi kazi siku hizi, hata wenyewe waliyoileta huku na kutuhadithia walishaipuuza. Mungu wako sio lazima afanane na yule wa Petro.
Anaimba kwaya gani?Ila kingu ana sound sana
Anahonga sana.abarikiwe sana.halafu kugegeda anaanza na maombiAnaimba kwaya gani?
Tehe tehe....atakuwa enzi za ujana wake (17-30) alikuwa muoga sana wa papuluchii.Anahonga sana.abarikiwe sana.halafu kugegeda anaanza na maombi
Jamaa sio mchoyo wa fedhaTehe tehe....atakuwa enzi za ujana wake (17-30) alikuwa muoga sana wa papuluchii.