Mbunge Elibariki Kingu aingia kwenye kashfa ya ngono na kuzaa nje ya ndoa

Hata ningekuwa ni mimi hii mafuta siachi ningeranda hebu angalia hilo jicho,cheko ,Dental formula nk
 
mkuu mbona una mpunguzia idadi ya watoto wake... au hiyo kichwa ya habari ktk video post yako ya youtube umeitapiu kwa makosa...
 
Nakumbuka rais wa ufaransa aliwahi kusema kuwa tatizo la Africa ni familia kubwa kwa hiyo kipato hupotelea humo pasipp kuweka akiba
huku huwa tuna amini tofauti na wao... huku familia kubwa huwa tuna amini kila mtoto atakuja na fungu lake... na watoto ni utajiri...

japo wengine tumezaliwa mmoja kama mbegu...
 
Mtoto anaonekana anajua kunyonya mashine huyu. Eli umefanya la maana kaka, hata mimi ningepiga tu.
 
Hivi wanandoa wasio wanasiasa wanaheshimu ndoa zao?
 
..duh..I like the chick....she is damn shirtless bitch...yani she doesn't care kujitangaza kuzaa na mme wa mtu....yani the bitch wala hajali kujitangaza kumpenda eli kingu.. Very sorry kwa mke wa eli....Na pia very sorry kwa aliemchumbia huyu bitch...maana bado anampenda eli kinyama...
 
Ila huyu binti ni mrembo hasa halafu anajipenda.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…