Mbunge Erick Shigongo asikiliza kero za wananchi ndani ya basi

Mbunge Erick Shigongo asikiliza kero za wananchi ndani ya basi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Mh Shigongo mbunge wa Buchosa ameanza kampeni ya kutatua kero za wananchi wake kwa kuwafuata popote ikiwemo ndani ya mabasi ya abiria.

Leo ameonekana ndani ya basi lililotokea Kanyara kwenda Sengerema.

Chanzo: Global Publishers

MBUNGE_wa_Jimbo_la_Buchosa,_Eric_Shigongo_akiwa_ndani_ya_basi_linalotoka_Kanyara_kwenda_Senger...jpg
 
Kampeni hiyo itadumu wiki ngapi? Na je, ile ya tozo za miamala nayo inasikilizwa?Je vipi zihusianazo na dai la katiba mpya na miamala kuongeza salio la simu linalotarajiwa karibuni?
 
Bora hata huyo... kenge letu huku lipo lipo tu lina miaka 15 linagombea na ni li waziri lakini sijawahi kulisikia limekuja hata kusikiliza kero zetu.Cjui hata linashindwa kwa ndumba.
 
Mh Shigongo mbunge wa Buchosa ameanza kampeni ya kutatua kero za wananchi wake kwa kuwafuata popote ikiwemo ndani ya mabasi ya abiria

Leo ameonekana ndani ya basi lililotokea Kanyara kwenda Sengerema .


Chanzo : Global Publishers
Atawadanganya hao vilaza wasioenda shule,Kuna ukumbi maalum kwa ajiri ya kuongelea kero za wananchi,
Wakati hizi tozo zinapitishwa,si alikuwa bungeni?alisema nini?
 
Atleast anakutana na wananchi wake hata kama hafanyi kitu..., wengine kumuona Muheshimiwa ujue uchaguzi umewadia
 
Atawadanganya hao vilaza wasioenda shule,Kuna ukumbi maalum kwa ajiri ya kuongelea kero za wananchi,
Wakati hizi tozo zinapitishwa,si alikuwa bungeni?alisema nini?
Wewe umeenda sana shule kuliko hao wanasengerema. Ukikaa mjini na kunywa chai na mhogo unajua maisha umeyamaliza? Jipange mwache Shigongo afanye kazi yake.
 
Back
Top Bottom