Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Atawadanganya hao vilaza wasioenda shule,Kuna ukumbi maalum kwa ajiri ya kuongelea kero za wananchi,Mh Shigongo mbunge wa Buchosa ameanza kampeni ya kutatua kero za wananchi wake kwa kuwafuata popote ikiwemo ndani ya mabasi ya abiria
Leo ameonekana ndani ya basi lililotokea Kanyara kwenda Sengerema .
Chanzo : Global Publishers
Wewe umeenda sana shule kuliko hao wanasengerema. Ukikaa mjini na kunywa chai na mhogo unajua maisha umeyamaliza? Jipange mwache Shigongo afanye kazi yake.Atawadanganya hao vilaza wasioenda shule,Kuna ukumbi maalum kwa ajiri ya kuongelea kero za wananchi,
Wakati hizi tozo zinapitishwa,si alikuwa bungeni?alisema nini?
Jimbo gani hilo?Bora hata huyo... kenge letu huku lipo lipo tu lina miaka 15 linagombea na ni li waziri lakini sijawahi kulisikia limekuja hata kusikiliza kero zetu.Cjui hata linashindwa kwa ndumba.